KUMTAFUTIA MCHUMBA ISIWE NONGWA
![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0C1Ccjtd6k2b2-Xi1EO2RU8kUJVAeBlYMS*-cfVHI2HFu3HFL-d0ZLdA6*x4UqQHjcuV14o3bUS4GcMSj7FmWqr/HappyCouples.png?width=650)
ASSALAAM aleikum na Bwana Yesu asifiwe wapenzi wasomaji wangu. Bila shaka ni wazima wa afya na mnaendelea vema na kazi za kulijenga taifa letu hili ambalo kwa sasa linapita kwenye mchakato mzito wa kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu. Nafurahishwa na jinsi mnavyoungana na mimi kunisoma na kunirudishia maoni yenu. Hakika nitaendelea kuwaelimisha kwa kila ninachoona kinafaa kuwafikia ili kuwekana sawa ndani ya maisha ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini
![](https://4.bp.blogspot.com/-yF_B61RPSXE/UwNobcg0nQI/AAAAAAAABqg/22IqbDfuLN4/s1600/OSCAR.jpg)
Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Aveva: Sitaki nongwa Simba
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini ya Rais Evans Aveva, umesema hauna muda wa kupoteza katika kulumbana na yeyote, badala yake unajikita katika mambo muhimu ikiwemo maandalizi ya timu yao...
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Kama mambo yapo hivi ishakuwa nongwa
9 years ago
Bongo519 Aug
Audio: Rich Mavoko na mama mdogo wa girlfriend wake wazusha ugomvi mzito, amtuhumu kumtafutia wanaume, wafanyiana fujo bar
11 years ago
Habarileo03 Feb
Katiba mpya isiwe ugomvi
RAIS Jakaya Kikwete amesema Katiba mpya haitapatikana kwa ngumi na mateke na wala si ugomvi, bali itapatikana kwa ushawishi wa hoja na kura.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Zanzibar isiwe shamba la dawa za kulevya
KAMA msimu wa mvua unavyokuja kwa kishindo na kuondoka pole pole, ndivyo ilivyo kwa suala la matumizi na biashara ya dawa za kulevya Zanzibar. Kwa mara nyingine tena suala la...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Marufuku ya kampeni isiwe ya upande mmoja
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Kuhama vyama isiwe kufuata mkumbo
MIAKA 20 iliyopita, Tanzania ilishuhudia idadi kubwa ya wanasiasa na mashabiki wengine kadhaa wa siasa wakirejesha kwa mbwembwe kadi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakizichoma moto hadharani.
Hilyo ilikuwa ni baada ya mmoja kati ya mawaziri wa CCM waliowahi kutamba na kukubalika sana nchini, Augustine Mrema, kuondoka chama hicho na kujiunga na NCCR – Mageuzi na mara moja akapewa uenyekiti na nafasi ya kugombea urais.
Mamia kwa maelfu ya mashabiki wake wakafuatana naye...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Kujadili Muungano isiwe dhambi, usaliti
KWA muda mrefu Watanzania walikuwa wameaminishwa kuwa kuhoji, kukosoa au kujadili masuala yanayohusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika Aprili 26, mwaka 1964 ni dhambi au usaliti. Dhana hiyo kwa...