Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kunguru wavamia Mombasa. Kunani?

Kisiwani Mombasa kuna ndege mmoja tu anayetawala; naye ni Kunguru wa Kihindi, au ukipenda 'Indian House Crow'.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNGURU: NIMETUMWA SANA POMBE BONGO MOVIE

IMELDA MTEMA MSANII wa sinema za Kibongo, Brenda Malembeka ‘Kunguru’ ameibuka na kuanika ukweli wa maisha yake kuwa kabla ya kutoka kisanaa, aliteseka sana kwa kutumwa pombe na wasanii waliokuwa tayari na majina makubwa. Msanii wa sinema za Kibongo, Brenda Malembeka ‘Kunguru’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Kunguru alisema kwa kipindi hicho ilimlazimu akubali kutumwa pombe na mastaa kwani lengo lake...

 

9 years ago

GPL

‘KUNGURU’ ATAMANI UHAUSIGELI KWA ZARI

Msanii wa filamu Bongo, Brenda Malembeka maarufu kama Kunguru, Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Brenda Malembeka maarufu kama Kunguru, anadai anatamani kuwa msaidizi wa kazi za ndani (house girl) kwa Zarinah Hassan ‘Zari’ ambaye ni mzazi mwenzie na Mbongo Fleva Nasibu Abdul `Diamond Platnumz’ kwa ajili ya kumsaidia kumlea mwanaye, Latifa ‘Tiffah’. Akipiga stori na gazeti hili, muigizaji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kunguru chanzo cha moto jengo la Consolidated Investments Ltd katikati ya jiji

IMG-20150210-WA0082

Hii ni sehemu ambayo inaonyesha moto ulipoanzia, baada ya Kunguru kukanyaga nyaya za umeme zilizopelekea shoti.

Na Andrew Chale, modewjiblog

INAELEZWA kuwa moto mkubwa uliozuka na kuteketeza  mapema leo  jengo la ghorofa mbili Consolidated Investments Ltd ambalo ni mali ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Plot namba 1809/88 katika makutano ya Mtaa wa Mosque  na Libya katikati ya jiji la Dar es Salaam, ni kufuatia Kunguru kugusa nyaya za umeme uliokuwa unaingia kwenye jengo hilo.

Mtandao wa...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Msanii Dr.Dre ashtakiwa,kunani?

Wasanii mashuhuri wa Marekani Dr Dre na Jimmy Loving wanashtakiwa na mshirika wao wa kibiashara kuhusu vipaza sauti vya beats

 

11 years ago

BBCSwahili

Makasisi kuwekewa vikwazo. Kunani?

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowalawiti watoto na kutishia kuwawekea vikwazo

 

10 years ago

Vijimambo

VATICAN YAMKATAA BALOZI, KUNANI?


Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis
Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya wa Ufaransa, mjini Rome.Rais wa Ufaransa Francois Holland, amempendekeza muumini mmoja wa kanisa hilo ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa balozi wake mjini Vatican.Lakini utawala wa Vatican umesema uteuzi huo haukubaliki.Makao makuu ya papa mjini The Vatican hayajasema lolote kuhusiana na uteuzi huo ,lakini ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waislamu taabani,Austria Kunani ?

Wakristu na wayahudi wataruhusiwa kupokea misaada iwapo sheria hiyo itapitishwa lakini Waislamu na Masheikh hawatoruhusiwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Vatican yamkataa balozi,kunani?

Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani