Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNRADHI; HOTELI YA NAURI HAIJAUNGUA, NI UZUSHI!

Jengo likiungua na kudaiwa ndiyo la Hoteli ya Naura ya Arusha Jengo halisi la Naura Spring Hotel na kama lilivyo hada sasa. Habari na picha zilizosambaa jioni hii kuwa Hoteli ya Naura Spring ya jijini Arusha inaungua ni za uzushi. Akiongea na wanahabari jioni hii, Meneja wa Hoteli hiyo iliyodaiwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KUNRADHI YA MJENGWABLOG KUTOKUWA HEWANI

NDUGU ZANGU,
MJENGWABLOG HAIKO HEWANI TANGU JANA SAA TATU USIKU. NI KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWENYE DATA CENTRE NCHINI MAREKANI ZINAKOHIFADHIWA.
WAHUSIKA WALIOKO KWENYE DATA CENTRE WANAFANYA KAZI KATIKA KILA DAKIKA KUHAKIKISHA HITILAFU HIYO INAREKEBISHWA HARAKA IWEZEKANAVYO.
KWA SASA UNAWEZA KUENDELEA KUTUPATA KWENYE URSTREAM KWANZAJAMII RADIO, WEBSITE KWANZAJAMII.COM, FACEBOOK: KWANZAJAMII RADIO FANS
POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI,
MAGGID...

 

5 years ago

Michuzi

KUNRADHI NDUGU SIA LYIMO


Mnamo tarehe 30/04/2020 tulichapisha habari  kuhusu sakata la wafanyakazi wa Impala Group na Hoteli ya Naura iliyopo Arusha ambapo mwakilishi wetu huko alileta habari kwamba alimhoji Ndugu Siya Lyimo, jambo ambalo imeonekana siyo kweli na kuleta usumbufu kwa Ndugu Sia Lyimo na kuhatarisha kumchonganisha na viongozi wa mkoa na wilaya ya Arusha.
Tunaomba radhi kwa ndugu Sia Lyimo kwa taarifa hiyo ambayo tunakukiri kwamba inaonesha hakuwahi kuhojiwa na mwakilishi wetu huyo; na ambaye kwa kosa...

 

5 years ago

Michuzi

RC ARUSHA MRISHO GAMGO ASEMA HOTELI ALIYOPATIKANA MGONJWA WA CORONA IMEIFUNGA, WALIOPO HOTELI WOTE HAKUNA KUTOKA WALA KUINGIA

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Globu ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.

Akizungumza leo Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo  ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo...

 

11 years ago

Michuzi

Breaking newzzzz: viungo vya binadamu vyakamatwa dar es salaam leo (kunradhi kwa picha za kuogofya)

 Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika  mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Nape: UKAWA inafanya uzushi



Asema Tume ya Katiba haikuwa ya mwisho Awataja pia Mbowe, Tundu Lissu na Jussa
Na Charles Charles
 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetaka wananchi kujihadhari na uzushi, uongo na upotoshaji unaofanywa na genge linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kutaka mchakato wa Katiba mpya ukwame.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema genge hilo linafanya hivyo kutokana na uchu wa madaraka walionao viongozi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘Tuhuma dhidi ya Nyalandu ni uzushi’


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imesema tuhuma zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, hazina ukweli na zimelenga kumchafua binafsi pamoja na wizara.
Pia imetoa ufananuzi wa tuhuma hizo zilizokuwa zikielekezwa kwa Nyalandu na kuonya kuwa, kuanzia sasa itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya wanaomchafua na kupaka matope utendaji kazi wake.
Hivi karibuni Nyalandu amekuwa akiandamwa na baadhi ya watu kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yakerwa uzushi wa gazeti

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu SERIKALI imekanusha taarifa zilizochapishwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini kuhusu hali halisi ya vita dhidi ya ujangili ambazo chanzo chake ni gazeti la Daily Mail on Sunday la Uingereza na kuziita za uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi watatu watimuliwa kwa uzushi

Polisi mkoani Kigoma imewafukuza kazi askari wake watatu kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu kwa kurusha taarifa za uwongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya viongozi wa Jeshi la Polisi nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yapigwa butwaa uzushi siku ya uchaguzi

SERIKALI imeeleza kushangazwa na uzushi kwamba siku ya uchaguzi mkuu, data za mawasiliano pamoja na umeme vitazimwa, jambo ambalo imetaka wananchi kupuuza taarifa hizo potofu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani