Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutana na shabiki sugu wa Yanga

Bwana Steven Samuel aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na mapenzi yake kwa timu ya Tanzania hasa inapofungwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam zaua shabiki

Shabiki wa soka aliyekuwa jukwaa walilokuwa wamekaa mashabiki Yanga alianguka ghafla na kufariki dunia kabla ya kupelekwa hospitali wakati alipokuwa akishuhudia pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam lililochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

SHABIKI AFARIKI AKISHANGILIA BAO LA YANGA TAIFA

SHABIKI wa Timu ya Yanga SC, Deodatus Isaya Lusinde, mkazi wa Kipunguni A, amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla wakati akishangilia bao la Yanga lililofungwa na Didier Kavumbagu katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza. Marehemu amepoteza maisha akiwa chumba cha matibabu mara baada ya kuwekewa mashine ya oksijeni na taarifa kuhusu kifo cha shabiki huyo zimethibitishwa na mmoja wa madaktari aliyemhudumia akiwa uwanjani ...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yamshikilia shabiki mmoja

>Shabiki mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kukutwa na tiketi bandia kwenye mechi ya Ligi Kuu ya kati ya Yanga na Mbeya City iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Shabiki wangu usijinyonge, nitajirekebisha

Kuna hayawani mmoja alikwenda kuharibu ukweni bila kuelewa. Kakutana na Baba mkwe, akaanza kumsifia mshenga wake kwa jinsi alivyofanikisha ndoa yake. Alianzia pale alivyompa mshenga rupia za kumlainisha mtoto wa watu, kisha rupia za kuondolea udhia kwa wakwe.

 

11 years ago

BBCSwahili

''Shabiki'' wa Liverpool auawa Kenya

Shabiki wa klabu ya soka ya Uingereza ya Liverpool amedungwa kisu na mwenzake wa Arsenal na kufariki dunia baada ya mechi ya Jumamosi

 

10 years ago

GPL

SHABIKI WA NEWCASTLE AUAWA NA PUNDAMILIA

Mwandishi wetu
INASHANGAZA! Shabiki mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya Newcastle, John Kearsley (38) ameuawa baada ya kukanyagwa na pundamilia alipokuwa matembezini katika mbuga za wanyama nchini Tanzania. Shabiki wa Newcastle John Kearsley aliyeuawa na Pundamilia. John, alikuwa na ziara ya siku 12 nchini Tanzania ambayo aliiandaa kwa muda mrefu kwa lengo la kusherehekea kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mkewe, Doreen...

 

11 years ago

BBCSwahili

Shabiki wa Brazil auawa Kenya

Mashabiki wawili wa kandanda waliuawa Magharibi mwa Kenya kufuatia matokeo ya mechi ya Brazil na Colombia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani