Kuunganishiwa umeme sasa Sh 27,000
BEI ya kuunganisha umeme katika vijiji ambavyo bomba la gesi linapita kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, imeshushwa zaidi na kuwa Sh 27,000. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ametangaza kuanzia mwaka huu wanavijiji ambako bomba la gesi linapita wataunganishiwa umeme kwa bei hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
10 years ago
Habarileo08 Mar
‘Msidanganywe, gharama za kuunganisha umeme ni 177,000/-’
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa amewaambia wakazi wa kata ya Ibihwa iliyopo Bahi mkoani Dodoma kuwa gharama za kuunganishiwa huduma ya umeme zimeshuka hadi Sh 177,000.
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Mtwara washushiwa umeme hadi Sh27,000
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Zaidi ya visima 19,000 vyashindwa kutoa maji kwa ukosefu wa umeme
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Tanesco: Mgawo wa umeme kwa sasa hauzuiliki
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Umeme wa gesi sasa kuanza mwezi ujao
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba
11 years ago
Michuzi07 Feb
KIJITONYAMA SASA WALIA KWA KUKOSA UMEME NA MAJI
Ila kwa sasa matatizo yetu yameongezeka maana kwa muda wa siku tatu sasa tunalala usiku bila ya huduma ya umeme na mchana tunaupata kwa mgao.
Kwa kweli wakazi wa maeneo haya tunateseka sana na huduma hizi mbili na hakuna maelezo yeyote kutoka kwa wahusika. Tunaomba mawaziri husika watusaidie kama sio kupata huduma hizo basi angalau...
10 years ago
BBCSwahili29 Nov
Waliokufa na Ebola watimia 7,000 sasa