Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa hali ilipofika, kumpata mmoja tunahitaji hekima zaidi kuliko vigezo

Inaonekana kuna kila dalili kwamba tunaweza kufika arobaini, namaanisha idadi ya watu ambao wanatangaza nia kupitia Chama cha Mapinduzi. Idadi kubwa ikiwa ni pamoja na mawaziri ambao wako katika Serikali inayomaliza muda wake, wabunge, na makada wengine wa CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tunahitaji mabalozi kuliko kipindi chochote kile

Sifa ya Tanzania kuwa kisiwa cha amani inatoweka pole pole na kwa hakika tunahitaji utashi wa kisiasa na uamuzi mgumu kurudisha mfumo wa uongozi wa kuanzia ngazi ya nyumba kumi.

 

10 years ago

Vijimambo

HALI YA HEWA YAENDELEA KUWANOA WATAALAMU WAKE KATIKA KUKIDHI VIGEZO VYA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

Mwakilishi wa wahitimu Bi. Pamela Levira akisoma risala ya wahitimu kwa mgeni rasmi katika mahafali ya pili ya mafunzo ya huduma za hali ya hewa kwa ajili ya usafiri wa anga kutoka Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma
IMG0086: Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya huduma za hali ya hewa kwa ajili ya usafiri wa anga kutoka Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma,Kulia kwake mwenye tai nyekundu ni Mkuu wa Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma Bw. Joseph...

 

10 years ago

Mwananchi

UTAFITI : Ebola inaenea haraka zaidi kwa wanawake kuliko wanaume

Ingawa binadamu wote ni sawa, lakini ni jambo la kushangaza kuona kuwa wakati wa mlipuko wa ugonjwa fulani, jinsi moja inaathirika zaidi kuliko nyingine.

 

11 years ago

CloudsFM

MMOJA WA MAJERUHI WA BOMU ARUSHA AKIMBIZWA NAIROBI,KENYA KWA MATIBABU ZAIDI

Jumatatu July 07 kwenye moja ya migahawa iliyopo eneo la Uzunguni Jijini Arusha,Watu wanane waliripotiwa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai wa Jeshi la Polisi Kamishina Issaya Mngulu amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane usiku ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu hilo ndani ya mgahawa ujulikanao kamaVama Traditional Indian Cusino uliopo jirani na viwanja vya Gymkhana jijini Arusha.

Pamoja na juhudi ambazo zimekuwa zikifanywa na Jeshi la Polisi...

 

9 years ago

Bongo5

Rich Mavoko ataja sababu zilizomfanya awe kimya kwa zaidi ya mwaka mmoja

mavoko new

Rich Mavoko ameachia wimbo mpya Jumanne (Nov.24), ikiwa ni mwaka mzima na miezi miwili toka alipoachia single ya mwisho ‘Pacha Wangu’.

mavoko new

Wakati akitambulisha single mpya iitwayo ‘Naimani’ kupitia XXL ya Clouds Fm, Mavoko amezitaja sababu zilizomfanya asitoe wimbo kwa kipindi kirefu toka mwaka jana.

“Cha kwanza Pacha Wangu ni wimbo nimetoa mwezi wa 9 (2014) lakini pia imekuwepo kwa muda mrefu, sisemi kwamba natakiwa nitoe nyimbo ikae muda mrefu hapana.”

Mavoko aliendelea,

“lakini kusuasua...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shule nchini Uganda kuendelea kufungwa kwa mwezi mmoja zaidi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa Shule, makanisa, misikiti, vilabu, vilabu vya usiku, maeneo ya kufanyia mazoezi na saluni za urembo zitaendelea kufungwa ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Hali ya uchumi ya mtu mmojammoja nchini ni mbaya kuliko ilivyokuwa miaka 10 iliyopita

Hivi karibuni, Taasisi ya Repoa ilitoa utafiti wake unaoonyesha kuwa hali ya kiuchumi ya wananchi inazidi kuwa mbaya ikilinganishwa na ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.

 

9 years ago

Michuzi

Bayport yamuunga mkono Dr Magufuli kwa vitendo, yapaka rangi, yafagia shule ya msingi Hekima

TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na utoaji wa mikopo, jana imemuunga mkono kwa vitendo Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr John Pombe Magufuli kwa kufanya usafi, kutunza mazingira na kupaka rangi shule ya Msingi Hekima, iliyopo Kata ya Tandale, wilaya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, huku wakianza kwanza kusafisha eneo la Makao Makuu ya ofisi yao, kabla ya kuelekea hapo. 
Tukio hilo liliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Bayport, John Mbaga, pamoja na zaidi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Repoa: Wananchi hupata taarifa za Ukimwi zaidi kuliko rushwa

Ripoti mpya ya utafiti iliyotolewa hivi karibuni inaeleza kuwa wananchi wanapata zaidi taarifa za ugonjwa wa Ukimwi kuliko taarifa za matumizi ya fedha za Serikali na namna ya kupambana na rushwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani