Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI UNAUMIA JUU YA MTU ANAYE FURAHI?

MTU mmoja mwenye akili aliwahi kusema mapenzi ndiyo kila kitu katika dunia, kwamba mtu anayepata faraja zote kimapenzi ndiye anayeishi vizuri zaidi kuliko hata mamilionea tunaowaona. Na baadhi ya watu wanafikiri kuishi vizuri kimapenzi maana yake ni kuwa na uhusiano mzuri na mwenza au mke/mume wako nyumbani au yeyote katika uhusiano. Kuishi vizuri kimapenzi, ni pamoja na kuamua kuacha kupenda pia! Nimewahi kukutana mara nyingi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kwa nini mtu achorwe Tatoo machoni?

Hii ndio kasumba ambayo imewavutia vijana wengi ulaya ingawa madaktari wanaonya kuweka wino ndani ya macho kunaweza kumfanya mtu kuwa kipofu

 

11 years ago

Mwananchi

Je, umewahi kufikiria kwa nini mtu huweza kuamua kujiua?

Kuna msomaji wa makala zangu za Jitambue alinitafuta akikabiliwa na tatizo lisilo la kawaida. Ndugu yake alitaka kujiua, hivyo aliniomba nimshauri amweleze nini cha kufanya ili kumpatia nasaha aache wazo lake baya la kutaka kujitoa roho.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili?

Mohamed Said Bonyeza Audio

The post Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili? appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Bongo Movies

EXCLUSIVE!! Irene uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu!

NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.

Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.

Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo mrembo alienda kuleta timbwili nyumbani kwa mume wa mtu huyo baada ya kusikia kuwa jamaa huyoa ameamua kuoa na kumoiga...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?

NAMSHUKURU Mungu kunikutanisha tena na nyinyi marafiki katika uwanja wetu wa elimu ya uhusiano. Hujakosea kusoma makala haya maana hapa ndipo tunapojifunza masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulijifunza mada iliyokuwa inahusu nani anayestahili kuhongwa kati ya mwanaume na mwanamke. Bila shaka msomaji wangu ulipata elimu, kimsingi nilisema kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake, kutobweteka na...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU-2

HATUNA budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena katika uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa la uhusiano. Siku zote ukikubali kupokea na kufanyia kazi yale tunayopeana kila Jumamosi kupitia safu hii. Leo ni siku ya wapendanao (valentine‘s day). Ni vyema basi ukaitumia siku hii kutafakari na umpendaye. Kumpa zawadi, kutafuta sehemu tulivu na kujadili uhusiano wenu.Ifanye siku hii kuwa mwanga mzuri wa penzi...

 

10 years ago

Vijimambo

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2


Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza.

Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo mengine ni kuwa waaminifu katika uhusiano wao kwa sababu wenza...

 

10 years ago

GPL

UNAJIAMINI NINI KUMPENDA MTU AMBAYE HUJUI HISTORIA YAKE?

Wiki iliyopita nilibahatika kukutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana! Urafiki wetu ulianzia tangu tulipokuwa wadogo, tulicheza na kusoma pamoja hadi kumaliza elimu ya msingi ndipo tukapotezana. Aliniita nyumbani kwake kunitambulisha kwa mchumba wake ambaye walitarajia kufunga naye ndoa siku chache zijazo. Kwa bahati nzuri au mbaya, binti ambaye rafiki yangu huyo alitarajia kumuoa namfahamu vizuri sana. Unaweza kuwa unajiuliza...

 

10 years ago

GPL

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2

Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza. Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani