KWA TULIPOFIKIA, YATUPASA TUJIANGALIE UPYA
![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg14qybnN*jZdKuwWAEPwpnolxkLDchYHAnGlMc*wVDC1W21uUwYuwB4jtcx8ys5HzOQrca-tIby7NcIH0PeI320/pasua.jpg?width=650)
Na Eric Shigongo MARA kwa mara nimekuwa nikisisitiza juu ya suala la kumshukuru Mwenyezi Mungu, nikisema kwamba bila yeye, yote tunayoyafanya hapa duniani ni bure kabisa. Baadhi ya watu, wamekuwa wakiniona kama ninayejifanya nimeokoka. Waziri Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe. Ninaomba kusisitiza, uwe umeokoka, uwe jambazi, uwe vyovyote unavyoweza kuwa, ni lazima umuombe Mungu kwa lolote unalotaka kufanikiwa hapa ulimwenguni....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 May
Hillary: Wajumbe Bunge la Katiba tujiangalie upya
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Tulipofikia tusiruhusu tena siasa iendeshe uchumi
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Barcelona yarudi upya kwa Luiz
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Ni wakati mzuri kwa TFF kujitafakari upya
10 years ago
Habarileo28 May
Barabara Dar kusukwa upya kwa trilioni 4/-
WIZARA ya Ujenzi imepanga kutekeleza miradi ya kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es Salaam, itakayogharimu zaidi ya Sh trilioni 4.394 itakapokamilika.
10 years ago
Habarileo26 Feb
Ulipaji pensheni kwa wazee kupitiwa upya
SERIKALI imesema itaupitia mchakato ambao utatoa nafasi kwa wazee kuanza kulipwa pensheni ya kila mwezi baada ya kutoa mchango wao mkubwa wa utumishi kazini.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60et9d7aCJNJSvUR4tp90mvyMyh9NjG1MwtleImIiHRyO7kC271h8LCDIlJc*mYMEKnK0zL-KeRHtcXDfCnEKeyEa/MAMAWEMA.jpg)
ROMA KWA HILI UTALOSTI, JIANGALIE UPYA DOGO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N4AkTxnHu1tXI2TqOgrWz5VK1QExBf6o3E7db1udD8voPUSBNKacsrqk20wBececQUCVk2KDvg8-Box1qIrnVSl/mahaba.jpg?width=650)
MWAKA UNAISHA, ANZA UPYA KWA MWENZI WAKO!
9 years ago
StarTV17 Nov
 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi
Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.
Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.
Wadau hao akiwemo Mkurugenzi wa taasisi ya kielimu ya THE...