Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwaheri Kikwete, karibu Dk Magufuli

Rais mpya wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli anaapishwa rasmi leo kuanza ngwe ya uongozi wa nchi kwa kipindi cha miaka mitano. Wakati tukimkaribisha Rais mpya Dk Magufuli, pia tunamuaga Rais Jakaya Kikwete ambaye ameiongoza nchi kwa miaka 10 kwa mafanikio makubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kwaheri JK, karibu JPM

Watanzania leo watashuhudia mabadiliko ya uongozi wakati Rais Jakaya Kikwete ataondoka rasmi madarakani kumpisha rasmi Dk John Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na kibarua kigumu cha kufanya mabadiliko yatakayopunguza ugumu wa maisha kwa wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwaheri Tume ya Warioba, karibu Bunge la Katiba

>Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeshafikia ukingoni, imefika hapa ilipofika. Imekwishakabidhi rasimu yake ya pili kwa Rais Jakaya Kikwete, sasa inasubiri tu kuiwasilisha katika Bunge Maalumu la Katiba mapema mwezi ujao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Karibu mtaani Rais Kikwete

NIMEFARIJIKA sana kumsikia Rais Jakaya Kikwete, akiweka wazi kuwa anatamani amalize kipindi chake ili awe mtu huru kufanya mambo yake, ikiwamo kilimo na kucheza na wajukuu zake. Ingawa sijajua kwanini...

 

11 years ago

Habarileo

Mama Kikwete ataka jamii kuwa karibu na yatima

Mama Salma KikweteJAMII ina jukumu la kuwatetea, kuwalinda na kuwasemea watoto yatima ambao ni hazina ya Taifa.

 

10 years ago

GPL

Kwaheri phiri

Kocha Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri, jana alioondoka nchini kuelekea Zambia kwa mapumziko ya wiki moja, baada ya Ligi Kuu Bara kusimama kupisha michuano ya Cecafa iliyopangwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Mzambia huyo, anarejea kwao baada ya kukabidhi ripoti ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa Kamati ya Utendaji ya Simba, iliyokutana hivi karibuni na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwaheri 2015

HILI ni toleo la mwisho la gazeti la Raia Mwema kwa mwaka huu wa 2015.

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Habarileo

Kwaheri Madiba

Mjane wa Rais wa kwanza Mwafrika nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, Graca Machel akimuaga mume wake. Mwili wa shujaa huyo wa dunia ulilazwa katika jengo la serikali la Union kutoa nafasi kwa wananchi kumuaga mpendwa wao. (Picha na AFP).MAELFU ya Waafrika Kusini jana walijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika majengo ya Serikali ya Union jijini Pretoria.

Wengine walijipanga barabarani kutoa heshima zao wakati mwili ukipitishwa kutoka hospitalini ulikohifadhiwa na kupelekwa katika majengo ya Union na jioni kurudishwa hospitalini.

Mwili huo ulipelekwa hapo jana asubuhi ili kutoa fursa kwa wananchi kuuaga rasmi kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kwaheri Tata Mandela

Karibu watu 4,500 walifika kwenye mazishi hayo ikiwemo familia, jamaa, marafiki na viongozi wa dunia kijijini Qunu ambako Mandela alikulia.

 

9 years ago

Mwananchi

Kwaheri Rais wetu

Hodi naja kilingeni, nitokeze hadharani, Kusema yalo moyoni, kwa ndugu zangu nchini, Chatutoka cha thamani, mwendo wake kijijini, Kwaheri Rais wetu, Jakaya tunakuaga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani