Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWELI NAKWAMBIA ANACHOKIFANYA DIAMOND HATUTASHANGAA TUKIMKUTA ANAKUNYWA MVIVYO PEPONI

Charles James, Michuzi TVSADAKA! Tena Sadaka kubwa anaitoa kwenye muda ambao kweli watu waliihitaji. Huku Corona, huku Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukiwa umeanza. Hujanielewa!.
Supastaa na Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz ametangaza kuwalipia kaya 500 za watanzania wanaoishi kwenye mazingira magumu kodi ya miezi mitatu kila mmoja.
Diamond ametangaza kutoa Sadaka hii katika kipindi ambacho watanzania wengi mifuko yao imechanwa chanwa na gonjwa lenye roho mbaya la Corona.
Zaidi anatoa Sadaka hii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wassira- Masharti kwenda peponi magumu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira alisababisha kicheko kwa waombolezaji katika maziko ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Gabriel Tuppa baada ya kulalamikia masharti yanayoambatana na safari ya kwenda peponi.

 

10 years ago

Vijimambo

[Diamond]Mpenzi Wangu Mjamzito Kweli


Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa, mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.
Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika
“Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu...

 

9 years ago

Mtanzania

Diamond, Sauti Soul wafanya kweli Mauritius

sauti solNA MWANDISHI WETU

MKALI wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platinumz’ na wakali wa Afro Pop kutoka Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol, wamefanya onyesho kabambe katika hitimisho la Tamasha la 2015 Content Showcase Extravaganza, lililofanyika visiwa vya Mauritius.

Onyesho hilo lililofanyika katika hitimisho la wiki ya furaha, burudani na mafanikio makubwa kwa Kampuni ya MultiChoice Africa, liliwakutanisha waandishi zaidi ya 90 kutoka kote Afrika, wasanii mashuhuri na...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli!

Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana. Ni movie inaendelea? Diamond na Zari Picha za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja […]

 

10 years ago

Vijimambo

BARNABA DIAMOND SIO MWANAMUZIKI WA KWELI ANAIMBA KIUJANJA TU


Jana, Wakati akihojiwa na Mwanadada Shadee kwenye Kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Msanii 'Fundi wa Muziki' kutoka nyumba ya vipaji THT, Barnaba Elias 'Barnaba', pamoja na mambo mengi aliyozungumzia, alitoa maelezo kuhusu wasanii watano anaowakubali na sifa zao Kimuziki ambapo alimtaja Msanii wa BongoFleva Diamond Platnumz kuwa sio 'Mwanamuziki' mwenye kujua kuimba muziki kiufundi.Akifafanua kauli yake kwa mapana , Barnaba alieleza kwamba Diamond hajui kuimba kufuatana na alama zote...

 

5 years ago

CCM Blog

TRUMP ANAKUNYWA DAWA YA CORONA ISIYOTHIBISHWA


TrumpHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESRais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba anakunywa dawa ya hydroxychloroquine kujikinga dhidi ya virusi vya corona hata ingawa maafisa wa afya wametoa onyo juu ya usalama wa dawa hiyo.Akizungumza katika Ikulu ya White House, aliwaambia wanahabari kwamba ameanza kunywa dawa hizo zinazotibu ugonjwa wa malaria na hivi karibuni imetumika kutibu ugonjwa wa ngozi."Nimekuwa nikiinywa kwa karibia wiki moja na nusu sasa na niko hapa, bado niko hapa," hilo lilikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani