Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAFARGE TANZANIA YAZINDUA SARUJI MPYA “TEMBO SUPASET 42.5”

 Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Lafarge Tanzania, Allan Chonjo (wa kwanza kulia) akizungumza machache mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chapa mpya ya saruji iitwayo “Tembo Supaset 42.5”leo Oktoba 12, 2015 katika ofisi zao jijini Dar es Salaam. Anayemfuatia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Lafarge Tanzania, Catherine Langreney pamoja na Mkurugenzi wa Mauzo, Stanslaus Mmbaga. Afisa Mtendaji Mkuu wa Lafarge Tanzania, Catherine Langreney (katikati) akishangilia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

10 years ago

Vijimambo

ORIFLAME YAZINDUA OFISI MPYA TANZANIA

Mshindi wa Bidhaa za Kampuni ya Oriflame, 2013, Jessica Mwakyulu wapili (kushoto) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Ofisi mpya ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaj Mkuu wa Kampuni hio kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, na kulia ni Meneja masoko kwa nchi za Afrika, Mary Makena.Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Oriflame kwa Nchi za Afrika, Piyush Chandra, (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati wa kuzindua...

 

10 years ago

Michuzi

LAFARGE TANZANIA YAKABIDHI MRADI WA MAJI KWA KIJIJI CHA SONGWE VIWANDANI, MBEYA

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Lafarge Tanzania (Mbeya Cement), Catherine Langreney na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyirembe Sabi wakikata utepe kuzindua mradi wa maji uliojengwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwaondelea tatizo la uhaba wa maji safi na salama wananchi wa kijiji cha Songwe Viwandani mkoani Mbeya katika hafla iliyofanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

Bayport Tanzania yazindua huduma mpya ya Mikopo ya bidhaa

Na Andrew ChaleTaasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania mapema leo Oktoba 15, 2014 imezindua huduma mpya ijulikanayo kama Mikopo ya bidhaa ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wote wa kampuni zilizoidhinishwa na Bayport. Uzinduzi huo ulifanyika katika ofisi za makao makuu ya Bayport, maeneo ya Moroco jijini Dar es Salaam mbele ya wandishi wa vyombo mbalimbali vya habari umeonyesha matumaini mapya ya watanzania wanaosumbukia usafiri katika vituo...

 

9 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA TANZANIA UNESCO YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NITAFUTEAPP

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii.TUME ya Taifa ya Tanzania UNESCO kupitia Dawati la Vijana imezindua huduma mpya ya Jamii iitwayo NitafuteApp.
Huduma hii inalenga kuwezesha Utafutaji,Utambuzi,Uokozi, Matibabu na Utoaji taarifa za watu waliopotea hususani Watoto,Wagonjwa wa Akili na Wahanga wa usafirishaji haramu wa binaadamu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo Afisa Mtendaji Mkuu wa Huduma hiyo Trayphone Elias amesema kuwa faida zinazopatikana katika mtandao huo ni Kukuza matumizi...

 

10 years ago

Dewji Blog

UAP Insurance Tanzania yazindua huduma zake mpya na tafrija fupi

DSC_1898Meneja madai wa kampuni ya Bima ya UAP Bw. Michael Emmanuel (kushoto) akiwa na  Ally Athumani Meneja Uandikishaji wa UAP wakati wa utambulisho wa huduma hizo mpya walizo zindua za UAP  JIKINGE  na  UAP FAMILY KINGA  (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Dar es Salaam). Kampuni ya Bima ya UAP   Tanzania,  wamekuja na huduma mpya  mbili za Bima kwa watu wote ambayo itaboresha maisha ya wateja wake ikiwemo katika huduma za matibabu mbalimbali nchini.

Huduma...

 

11 years ago

Dewji Blog

Smart Codes Tanzania yazindua huduma mpya “Patikana” kusaidia biashara za kitanzania kuonekana popote duniani

Kampuni ya SMART CODES inayojishughulisha na teknolojia ya mtandao, imezindua huduma mpya na ya bei nafuu kuwawezesha wafanyabiashara wote duniani hususani Tanzania kuweza kuweka biashara zao kwenye mtandao (Website).

Untitled

Huduma hiyo itawezesha wafanyabiashara wakubwa na wale wadogo kusajili maji na ya biashara zao kwenye kikoa cha Tanzania DotTZ (.tz) mfano.

Kampuni ya SMART CODES inayojishughulisha na teknolojia ya mtandao, imezindua huduma mpya na ya bei nafuu kuwawezesha wafanyabiashara...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'

Kadi mpya ya malipo ya matibabu katika Hospitali ya KCMC inavyoonekana. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC.
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC badala ya fedha taslimu.
 Baadhi...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya  Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani