Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAPF YAOKOPESHA SACCOS YA WALIMU RUANGWA

 Meneja wa Kanda ya Mashariki Bw. Yesaya. Mwakifulefule  akikabidhi hundi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ruangwa Bw. Nicolaus Kombe wakati wa sherehe za makabidhiano zilizofanyika jana Ruangwa mkoani Lindi. Hii ni mikopo ya wanachama kupitia SACCOS zinazotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF  ili kuwawezesha kutimiza malengo yao mbali mbali wakati wakiwa bado kazini au kabla ya kusataafu. Hadi kufikia sasa LAPF imetoa mikopo ya zaidi ya sh, 2.2 bilioni.LAPF imeikopesha Saccos ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LAPF WATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 100 KWA SACCOS YA WALIMU WILAYANI RUANGWA, LINDI

Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Nicholous Kombe,  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100 ikiwa ni mkopo uliotolewa na mfuko huo kwa wanachama wa SACCOS ya waalimu wilayani Ruangwa..Hafla hiyo ilifanyika Wiyani Ruangwa hivi karibuni. Wanachama wa  Walimu Saccos wa Wilaya  ya Ruangwa mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

SACCOS YA WALIMU MOSHI VIJIJINI WAPATA VIONGOZI WAPYA WA BODI

Mwenyekiti wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.Baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MUCO).
Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya kupata washindi katika uchaguzi huo ambapo Godlisten Kombe alifanikiwa kutetea kiti chake baada...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

10 years ago

Vijimambo

CUF wawapania CCM Ruangwa.

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF, Abdul Kambaya.
Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wamechoshwa na uongo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamedai kuwa miaka 53 ya uhuru wameshindwa kuwajengea barabara kuu ya wilaya hiyo kwa kiwango cha lami na fimbo watakayotumia ni kukiadhibu ni kukinyima kura Oktoba, mwaka huu.

Wakizungumza katika mikutao ya hadhara ya Chama cha Wananchi (CUF) katika maeneo mbalimbali ikiwamo Kata ya Nandagala, kuhamasisha wanachama na wananchi kujiandikisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Majaliwa ahutubia mkutano Ruangwa

IMGS5951

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa Desemba 20, 2015. (PIcha na Ofisi ysa Waziri Mkuu).

IMGS5962

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia silaha  za asili alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini hapo Desemba  20, 2015.

IMGS5968

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokea zawadi ya rungu kutoka kwa Mzee Issa Juma Nangalapa ikiwa ni ishara ya kumtaka awaadhibu wote...

 

10 years ago

Mwananchi

Ruangwa waonya uchimbaji holela

Serikali imelaumiwa kwa kutochukua hatua madhubuti kudhibiti uchimbaji holela wa madini, licha ya rasilimali hiyo kuchangia pato la Taifa kupitia kodi na fursa nyingine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani