Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lazima tumtafakari Januari Makamba

NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, ametangaza wazi kwamba amefikia asilimia 90 katika maandalizi ya kugombea urais wa Tanzania mwaka 2015. Tangazo la Makamba limeambatana na sharti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JANUARI MAKAMBA AFUNIKA LOWASA

 NAIBU Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye ni mmoja wa makada wa CCM waliotangaza nia ya kuwania kuteuliwa kuwania Urais, ameibuka na ubunifu wa kisasa katika namna ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, kitu ambacho endapo kitafanikiwa atakuwa amemfunika Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa ambaye kwa sasa ndiye gumzo miongoni mwa makada waliojitokeza.Edward Lowassa.Januari, ambaye ni mtoto wa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, mzee Yussuf Makamba, jana katika...

 

10 years ago

Michuzi

JANUARI MAKAMBA ATUA BUKOBA LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA NA KUZOA WADHAMINI LUKUKI

Mh. January Makamba na mkewe, Ramona(kulia) mara baada ya kushuka kwenye Ndege leo hii Jumatano asubuhi juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.
Mh. January Makamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Mkoa wa Kagera
Mh. January Makamba akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari waliokuwa Uwanjani hapo ambao bila Shaka walikuwa wanasoma masomo ya Ndege inavyoruka na kutua na mengineyo kiujumla leo jumatano juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta, Bukoba
January Akizungumza na wakazi wa Bukoba...

 

11 years ago

Michuzi

JANUARI MAKAMBA AFUNGA KONGOMANO LA MFUMO WA UHAMAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI KWA AFRIKA (DBSF) 2014

 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa Afrika (DBSF) 2014 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Kongamano hilo la 9 liliandaliwa na Shirika la Utangazaji kwa Nchi za Jumuia ya Madola (CTO) kwa ushirikiano mkubwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Srikali ya Tanzania ambao ndio wenyeji.  Mgeni rasmi katika ufungaji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amini mzigoni Januari 6

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Amin Mwinyimkuu ‘Amin’ amesema Januari 6 mwakani anaanza kushuti video ya ngoma yake ya ‘Usinipe Robo’...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dondoo za Magazeti leo Januari 6

top_story_stopimage

SIMU.TV:  Mbunge UKAWA azuia bomoa bomoa Dar, Basi laua 4 na kujeruhi 33. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa.  https://youtu.be/d8XiGPe8RQ8 

SIMU.TV:  Siku 60 tofauti ya Ikulu ya Kikwete na Magufuli, Dodoma wamuaga polisi aliyekufa maji na familia yake. Pata dondoo hizi hapa.   https://youtu.be/oh9E7-Vtk2M

SIMU.TV:  Mawaziri wa JPM Watumbua majipu, Dkt. Mwakyembe ajilipua atoboa madhambi ya mahakimu, makarani, polisi na magereza.   https://youtu.be/-Xai70SMThE

SIMU.TV:  TFF Yampeleka...

 

9 years ago

Mwananchi

Hatima ya Duni kujulikana Januari

Mwanasiasa mkongwe nchini, Juma Duni Haji amesema hatima yake ya kubakia au kuondoka ndani ya Chadema itajulikana mwezi ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Pilikapilika za Januari kwa wanafunzi

Ni takriban wiki tatu sasa tangu kuanza kwa mwaka 2015. Miji imeanza kuchangamka hasa barabarani kusikoisha visa vinavyowahusisha makondakta na wanafunzi.

 

9 years ago

Mtanzania

Suma G kutoka na Hang Over Januari

sumaNA BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM

MKALI wa muziki wa kundi la Hot Pot Family, Ismail Self ‘Suma G’, amesema Januari mwanzoni anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao unajulikana kwa jina la Hang Over.

Msanii huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Muulize Meneja’, amedai kwamba kutokana na ushindani uliopo kwenye muziki kwa sasa, lazima ujipange ili kushindana nao.

“Mwaka 2016 nilitaka kuanza kwa kasi kwa kuwa nimejipanga ili kwenda sawa na ushindani uliopo kwa sasa.

“Kuanzia Januari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani