JANUARI MAKAMBA AFUNIKA LOWASA
NAIBU Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye ni mmoja wa makada wa CCM waliotangaza nia ya kuwania kuteuliwa kuwania Urais, ameibuka na ubunifu wa kisasa katika namna ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, kitu ambacho endapo kitafanikiwa atakuwa amemfunika Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa ambaye kwa sasa ndiye gumzo miongoni mwa makada waliojitokeza.
Edward Lowassa.Januari, ambaye ni mtoto wa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, mzee Yussuf Makamba, jana katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Lazima tumtafakari Januari Makamba
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, ametangaza wazi kwamba amefikia asilimia 90 katika maandalizi ya kugombea urais wa Tanzania mwaka 2015. Tangazo la Makamba limeambatana na sharti...
10 years ago
MichuziJANUARI MAKAMBA ATUA BUKOBA LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA NA KUZOA WADHAMINI LUKUKI
10 years ago
CloudsFM28 Jan
11 years ago
MichuziJANUARI MAKAMBA AFUNGA KONGOMANO LA MFUMO WA UHAMAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI KWA AFRIKA (DBSF) 2014
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qbn-hmie8EI/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo11 Sep
USHUJAA WA LOWASA
![](https://fbcdn-photos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/v/t1.0-0/p526x296/11988707_477219489116455_1316731061736731294_n.jpg?oh=9352e2fea4d2120a00a047d578a266b8&oe=566E79D9&__gda__=1450457611_c554690dc362b7e8eb0ea204e829be8a)
Kwa miaka miwili tu ya Uwaziri Mkuu, alifanya makubwa sana zaid ya walikoaa miaka 10, pia aliwaonesha na kuwafundisha KWA VITENDO KAMA IFUATAVYO
1.UMUHIMU WA ELIMU AWALI, kwa kuanzia ujenzi wa shule za kata ...lakini tangu alipoondoka ukadolola na kuisha.
2.UMUHIMU WA ELIMU YA JUU..kwa kuhimiza na kusimamia ujenzi UDOM kwa nguvu zote ujenzi ukafanyika..alipoondoka, mpaka leo majengo mengi UDOM hayatumiki (wanafunzi wa UDOM watakuwa mashahidi wa hili), ...waliobaki serikalin...
10 years ago
Vijimambo13 Aug
DOA LA LOWASA HALITOKI
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/s480x480/11887843_1616583928600651_1534355233910691096_n.jpg?oh=4d5cd093dc4c3017ea458de73862fc04&oe=567EF25B)
10 years ago
Vijimambo11 Apr
MH LOWASA KATIKA MSIBA MONDULI
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/04/photo.jpg)
POLE SANA,MUNGU AKUPE NGUVU!!!
Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa(pembeni)akimpa pole mjane wa marehemu Dr John Makundi kwenye kanisa la KKKT Monduli katika Misa ya kumuaga.Marehemu Dr Makundi ambaye alikuwa mratibu wa mpango wa kuzuia ukimwi wilayani Monduli alifariki tarehe 7 April mwaka huu kwa ajali ya gari huko eneo la Kisongo Arusha.Anatarajiwa kuzikwa tar 11 April nyumbani kao Marangu Moshi.CREDIT:DJCHOKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/949x2JmyntGZyxtoBp7GXk3bDeZ64*dut3z8OKkaBoAmGvzAQfPQ5oRfAx520nV1XmHWyUdaPh-BniJc4t3tVuXaLPBQ00BV/MMGL2229.jpg)
SAFARI YA MATUMAINI YA LOWASA ARUSHA