Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lema asikitika uandikishaji kuahirishwa

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema uandikishaji wapigakura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, uliokuwa uanze jana na kuahirishwa, umewasikitisha kama chama kwa kuwa wananchi hawakupewa taarifa za usitishwaji wa uandikishaji huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lema achafua hewa uandikishaji BVR

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema jana alichafua hali ya hewa katika Kituo cha Uandikishaji Wapigakura, Kata ya Sinoni baada ya kutaka shughuli ya uandikishaji wa majina isitishwe akidai kuna njama za polisi kuvuruga mchakato huo.

 

10 years ago

Habarileo

Maguri asikitika kutemwa Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Elius Maguri amesema kitendo cha kuachwa dakika za mwisho kimemuumiza sana ukizingatia amefanya mazoezi kwa kujituma sana Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHUMI: JK asikitika kuacha wengi wakiwa maskini

>Rais Jakaya Kikwete amesikitika kushindwa kukuza sekta ya kilimo hali iliyosababisha wananchi kuendelea kuwa maskini.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Asikitika Jina Lake Kutumiwa na Coca Cola Bila Hata Kushirikishwa Wala Kulipwa!!!

Kupitia ukurasa wake wa  kwenye mtandao wa INSTAGARM,  Wolper alifunguka;

“Habari Followers pamoja na wa Tanzania wote ambao naamini huwa mnaingia katika page yangu ya insta.Nimepokea zawadi hii ya Coca cola kwa siku 6 .

Na sio kwamba sikutaka kupiga picha kama wenzangu au ku post kama wenzangu,  nilikuwa natafakari kweli kampuni kubwa ya kitaifa na kimataifa inaweza kutumia gharama kubwa kuandika majina yetu bila kuchukuwa hata nafasi na heshima kubwa tuliyonayo kutushirikisha tu katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Uchaguzi wa ubunge Arusha kuahirishwa

act+death+picNA ELIYA MBONEA, ARUSHA

 

CHAMA cha ACT Wazalendo kimepata pigo baada ya mgombea wake wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Estomih Mallah kufariki katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC Mjini Moshi.

Katika hilo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa mujibu wa sheria italazimika kuusogeza mbele uchaguzi wa ngazi ya ubunge.

 

Ilidaiwa kuwa Septemba 6, mwaka huu Mallah alianza kujisikia vibaya wakati akiwa katika mkutano wa mgombea urais wa chama chake, Anna Mghwira na kwamba baada ya mkutano alipelekwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Uchaguzi Arusha Mjini kuahirishwa

Uchaguzi Arusha Mjini kuahirishwaJIMBO la Arusha Mjini na Chama cha ACT-Wazalendo, wamepata msiba wa aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo, Estomih Mallah na kusababisha kuwa jimbo la tatu ambalo kura ya mbunge haitapigwa katika Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa Oktoba 25 mwaka huu.

Majimbo mengine ambayo kura ya kuchagua wabunge haitapigwa ni Lushoto, baada ya kufariki kwa mgombea ubunge wa Chadema, Mohamed Mtoi mwanzoni mwa Septemba mwaka huu.

Lingine ni Ulanga Mashariki, baada ya mgombea ubunge wa jimbo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu nchini CAR kuahirishwa

Rais wa CAR Catherine Samba Panza amesema uchaguzi mkuu nchini humo utaahirishwa kwa sababu za kiusalama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zuma ataka uchaguzi kuahirishwa Burundi

Rais wa Afrika ya kusini Jacob Zuma amekuwa kiongozi wa hivi karibuni anayetaka uchaguzi wa urais nchini Burundi kuahirishwa.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA CHADEMA

Taarifa inatolewa kwa wapenzi, mashabiki, wafuasi na wanachama wa CHADEMA, wanaUKAWA na umma wa Watanzania wote wapenda mabadiliko kwa ujumla kuhusu mkutano mkubwa wa hadhara wa kesho katika Viwanja vya Jangwani, jijini Dar Es Salaam ambao umeshatangazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari, umeahirishwa hadi hapo maelekezo na utaratibu mwingine utakapotolewa baadae.Ni vyema kuwataarifu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani