Lema, Nassari kuzindua kampeni Sombetini
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, Godbless Lema na Joshua Nassari, wanatarajia kuzindua kampeni za udiwani Kata ya Sombetini, kesho. Akizungumza na Tanzania Daima jana, mgombea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Chadema yawapiga "stop" wanaotaka kuwang'oa Lema na Nassari
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
CHADEMA wazindua kampeni Sombetini kwa mbwembwe
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua kampeni zake za udiwani kwenye Kata ya Sombetini jijini hapa kwa kulitaka Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wao wa kulinda usalama wa raia...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Lema, Nassari wadai watamtoa Muhongo bungeni kwa mabavu
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Lema mbaroni kwa kuzidisha dk 6 mkutano wa kampeni
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MGOMBEA ubunge wa Chadema, Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, jana amekamatwa na polisi akidaiwa kuzidisha muda katika mkutano wake wa kampeni na kufanya maandamano bila kibali.
Tukio hilo lilitokea baada ya mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro ambapo Lema alihutubia hadi saa 12:06 badala ya saa 12:00, na aliposhuka jukwaani na kuanza kuondoka, wafuasi wake walianza kumfuata na kusukuma gari lake.
Baada ya hatua chache kutoka uwanjani...
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Mgombea Chalinze kuzindua kampeni
9 years ago
Mwananchi27 Aug
ACT kuzindua kampeni J’pili
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Chausta kuzindua kampeni leo
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
UKAWA WAZUIWA KUZINDUA KAMPENI JANGWANI
9 years ago
Mwananchi30 Aug
ACT - Wazalendo kuzindua kampeni leo