Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lidya Ko bingwa wa Gofu Wanawake

Lydia Ko ametwaa ubigwa wa gofu kwa wanawake katika wa michuano ya wazi iliyokua ikifanyika Australia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGA MASHINDANO YA GOFU KUENZI WANAWAKE LUGALO

Na Luteni  Selemani Semunyu

Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchi kusimama imara katika kujiendeleza katika nyanja mbali mbali ikiwemo michezo na kuliletea Taifa heshima bila kujali tofauti za jinsi walizonazo.

Aliyasema hayo wakati akifunga Mashindano ya kuadhimisha siku ya mwanamke duniani kwa mchezo wa Gofu katika yaliyofanyika Jana katika Uwanja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Mama Salama alisema  licha ya michezo mingi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2.

 

11 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA)

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake kutokata tamaa katika kuwahudumia wajawazito nchini.
Katika hotuba yake iliyosomwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif Rashid katika uzinduzi wa Kongamano la 23 la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa mwaka wa wanachama Chama Cha Madaktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake Tanzania (AGOTA).
 Kongamano hilo la siku tatu lilianza juzi na linamalizika leo, Dar es salaam  ambapo Pinda alisema kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

14 wang’ara Siku ya Gofu

WACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu jijini Dar es Salaam ambao walishiriki mashindano yaliyojulikana kama ‘Siku ya Gofu’, mwishoni mwa wiki waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya gofu Burundi yaahirishwa

Wachezaji wa gofu wa kulipwa -Tanzania wamejitoa kushiriki michuano hiyo Burundi kutokana na maandamano ya kisiasa yanayoendelea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaelemewa gofu ya vijana Afrika

Tanzania imeshindwa kushiriki michuano ya gofu ya Afrika ya vijana nchini Lusaka, Zambia kutokana na wachezaji wake kuwa shuleni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rome mwenyeji fainali ya Gofu 2022

Mji wa Rome ulioko nchini Italy umechaguliwa kuwa wenyeji wa michuano ya gofu ya Ryder cup ya mwaka 2022.

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya gofu Afrika kufanyika Zambia

Michuano ya Afrika golf kwa vijana chini ya miaka 18 itafanyika May nchini Zambia na Tanzania inakusudia kushiriki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani