Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Limso, Aset kumsaka Kimwana wa Twanga 2015

KAMPUNI za burudani nchini, Linda Media Solution (Limso), na The African Stars Entertainment (Aset), zimeunganisha nguvu katika kuandaa shindano la kumsaka Kimwana wa Twanga Pepeta 2015.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Aset, Asha Baraka, alisema kampuni hizo zitashirikiana kuandaa shindano hilo ambako hivi sasa wameanza kusaka washiriki na habari zaidi zitatolewa hivi karibuni.
“Shindano hili ambalo tumepanga lifanyike baadaye mwaka huu jijini Dar es Salaam,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA: NAMCHUKIA HALIMA KIMWANA MPAKA BASI

Na Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa hazijulikani. Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Wema alisema ugomvi wake na Halima Kimwana hautaisha na siku zote...

 

10 years ago

GPL

HALIMA KIMWANA: SIHUSIKI UHUSIANO WA DIAMOND NA ZARI

Mdada wa mjini ambaye ni dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana amedai kuwa hahusiki na uhusiano unaoendelea kati ya kaka yake huyo na mrembo kutoka Uganda, Zari. Dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana akipozi naye.. Akizungumza na waandishi wetu, Halima alisema kuwa hawezi kuzungumzia suala lolote la Diamond na uhusiano wake na Zari...

 

10 years ago

Michuzi

Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA


Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.

Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho  usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku  hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kariakoo wafunga maduka, kumsaka bosi wao

Naibu Kamishna Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon SiroWAFANYABIASHARA wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameandamana hadi kituo cha Polisi cha Kati, wakidai wapewe taarifa wapi alipopelekwa Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Johnson Minja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege 11 zanaswa katika operesheni ya kumsaka Guzman

Waendesha mashtaka nchini Mexico, wametwaa ndege 11, silaha mbalimbali na mihadarati, wakati wa operesheni kali ya kumsaka Guzman

 

11 years ago

Mwananchi

Vikosi vya Marekani vyawasili Uganda kumsaka Kony

Vikosi vya Marekani kwa ajili ya kumkabili kiongozi wa kundi la Lord Resistance Army (LRA) Joseph Kony vimewasili nchini Uganda huku vikiwa na vifaa vya kisasa zikiwamo ndege zenye uwezo wa kujaza mafuta angani.

 

10 years ago

Dewji Blog

UN yataka kipaumbele kumsaka binti mwenye albinism aliyetekwa

DSC_0019

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akimtambulisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) alipoitishia mkutano na waandishi wa habari jijini Mwanza mara baada kuhitimisha ziara zake Kanda ya ziwa. Kushoto ni Mshauri wa masuala ya haki za binadamu kutoka ofisi ya mratibu mkazi wa UN Tanzania, Bi. Chitralekha Massey.

Na Mwandishi wetu,...

 

11 years ago

Habarileo

Grow yatua Mwanza kumsaka Mama Shujaa wa Chakula

KAMPENI ya Grow inayotetea haki ya chakula na uzalishaji imetua jijini Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha wanawake wakulima na wafugaji kujitokeza na kujaza fomu za kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI... YEMI ALADE KUMSAKA JOHNNY UWANJA WA TAIFA

Na Nassor Gallu
MOSHI wa Burudani utafuka Agosti 8, mwaka huu pale tamasha kubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) litakapomshusha mkali wa ngoma ya Johnny inayobamba katika redio na televisheni, Yemi Alade kutoka Nigeria. Katika tamasha hilo ambalo limekuwa likiwaunganisha Watanzania na kuchangia masuala ya elimu kupitia mapato ya mlangoni, mkali huyo kutoka Nigeria amepania kukata kiu ya burudani kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani