LIUNDI; ALISABABISHA MKEWE AUE WATOTO WATATU- 5

Marehemu George Liundi. ALIYEKUWA Msajili wa Vyama vya Siasa, George Liundi alisababisha mkewe Agnes Doris Liundi kuua watoto wake watatu kwa kuwanywesha sumu, sasa tuangalie mahakamani alijiteteaje? Wakili wake aliyefahamika kwa jina moja la Jadeda alisema kwamba, mtu yeyote aliyerukwa na akili anaweza kupanga hatua kwa hatua kutekeleza mauaji kama alivyofanya mtuhumiwa na asijue kama kitendo alichokifanya ni kosa. Wakili...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO WILLIAM MHANDO, MKEWE NA WENZAO WATATU KIZIMBANI

Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu. Kadhalika, Mhando anakabiliwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa kuipa zabuni Kampuni ya Santa Clara Supplies Ltd, huku akijua ana...
10 years ago
Vijimambo16 Jan
UNAJUA WATOTO WATATU WA DEMU WA DIAMOND ZARI__WAONE HAPA__PIA KAWAJIBU WALE WANAOSEMA ANAKULA BATA TU NA DIAMOND HUKU KAWAACHA WATOTO WAKE WANATESEKA

11 years ago
Habarileo24 Sep
Achinja mkewe watoto wakishuhudia
POLISI mkoani Katavi wanamsaka mkazi wa kijiji cha Urwila wilayani Mlele, Mohamedi Katyukuru (49) kwa kumuua mkewe kwa kumchinja.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Futari yaua watoto watatu
WATOTO watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula futari inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Kwasunga, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi...
11 years ago
GPL
MTOTO WA MBARAKA MWISHEHE NUSURA AUE!
10 years ago
Habarileo12 Dec
Mama atupa watoto watatu porini
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mama wa watoto watatu, mkazi wa wilayani hapa, mwanzoni mwa wiki hii aliwatekeleza porini watoto hao, akiwemo mwenye umri wa miezi mitatu.
11 years ago
GPL
WATOTO WATATU WABAKWA KWA ZAMU!
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Watoto watatu wafariki dunia wakiogelea Dar
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Jaji Mwesumo: Aboud Jumbe alisababisha niache kazi