Liverpool yamsaka nyota PSV
Liverpool imeanza kumfutilia kwa karibu mshambuliaji wa PSV Eindhoven, Ola Toivonen.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Mancity yawalenga nyota 3 wa Liverpool
Manchester City imemuorodhesha Phillipe Coutinho kama mchezaji wa tatu wanayepanga kumnunua kutoka kwa mahasimu wao Liverpool.
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Man United yatoshana nguvu na PSV - UEFA
Mechi za makundi za michuano hiyo ziliendelea tena usiku wa jana kwa michezo kadhaa katika hatua ya makundi.
10 years ago
TheCitizen06 Apr
Don’t succumb to push by PSV operators on speed
The traffic police seem to have woken to the fact that Tanzania’s upcountry passenger service vehicles operators don’t care much about the speed and safety rules, so on Friday, they cracked the whip.
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Vitenge vya nyota nyota vyatikisa
Licha ya kuwepo kwa matoleo ya aina mbalimbali za vitenge kwa mwaka huu vipo ambavyo vimeonekana kukubalika na kuvaliwa zaidi.
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Polisi Kilimanjaro yamsaka Papaa
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro, limeungana na Idara ya Uhamiaji kumsaka mfanyabiashara Emmanuel Kisima maarufu kwa jina la ‘Papaa’ anayetuhumiwa kuwa kinara wa mtandao wa kusafirisha wahamiaji haramu. Mfanyabiashara huyo...
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
Marekani yamsaka Jihadi John
Jeshi la Marekani limefanya uvamizi wa anga, kumkamata mpiganaji wa kundi la kigaidi la Islamic state ajulikanaye kama Jihadi John
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDqiVZWfq2y5KjFxXhWCwTG7XUYKPJDPVoRJ2gGXb*LzDxWw73wLGtKkwCbjR009WUFYpCmpTuHuOar34SZCjj37/balali.jpg)
SERIKALI YAHAHA, YAMSAKA BALALI
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
IKIWA ni takriban miaka sita sasa tangu aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Daudi Balali , afariki dunia nchini Marekani, serikali imesema inamsaka kwa udi na uvumba Balali feki anayepotosha Wabongo kwa kujifanya yu hai na anaendelea na maisha nchini humo. Aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Marehemu Daudi Balali enzi za uhai wake. Akizungumza na...
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Kenya yamsaka mpiganaji wa Alshabaab
Maafisa wa polisi nchini Kenya wametoa zawadi ya dola laki moja kwa mtu yeyote atakayemkamata raia wa Ujerumani anayetuhumiwa kuhusika katika shambulizi la kundi la Alshabaab.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Polisi yamsaka Lema kwa vurugu
>Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamtafuta Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine watatu ili kuhojiwa kuhusu malalamiko ya vurugu zilizotokea kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa kiti cha udiwani Kata ya Sombetini wiki iliyopita ambapo watu kadhaa walijeruhiwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania