Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOAWASSA ALONGA NA WANAHABARI

Nimewaita kueleza masikitiko yetu mawili
Haswa katika upande wa jeshi la polisi

Tuna vijana wetu wanaofanya kazi za IT kwa kujitolea maeneo ya kinondoni na kijitonyama jumla ya vituo vitatu

Hawa vijana wanafanya uzalendo,kushiriki katika uchaguzi wa nchi yao,na kujenga historia moya ya nchi yao,tendo la kuwakamata si la haki kabisa

Wamewavamia na kuwakamata kwa kosa la human trafficing ambalo ni kosa kubwa na halifanani na kazi wanazofanya

Nimeona taarifa zao za matokeo ya kura wameanza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHY-ROSE BHANJI ALONGA NA WANAHABARI DAR LEO

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akizungumza na waandishi wa habari hii leo. Kulia ni Mbunge mwenzake wa EALA kutoka Tanzania, Twaha Isa Tasilima.Shy-Rose Bhanji akionesha moja ya picha za makamishna waliodai kujiuzulu nyadhifa zao lakini bado walikuwa wakiongoza kamati zao. Picha kwa hisani ya Father KidevuTaarifa Kutoka Kwa Mbunge Wa Bunge La Afrika La Afrika Mashariki

 

11 years ago

GPL

ALI CHOKI 'MZEE WA FARASI' ATINGA GLOBAL, ALONGA NA WANAHABARI

Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ali Choki akipozi ndani ya Global.
Ali Choki akisalimiana na Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Risasi, Joseph Shaluwa.…

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Habarileo

Mzindakaya alonga

MWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amesema wakati umefika wananchi kufurahia Tanzania mpya isiyo na rushwa wala umasikini chini ya uongozi wa Rais John Magufuli.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Profesa Mwandosya alonga


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja  iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...

 

10 years ago

GPL

Y-TONY ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Y-Tony akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano leo. Y-Tony wakati akifanyiwa mahojiano na presenta wa Global TV Online, Pam Daffa (kushoto).…

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyenusurika shambulio la Polisi alonga

Siku moja baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kuvamia kituo cha Polisi Stakishari kuua na kupora silaha, mmoja wa walionusurika katika tukio hilo askari Gaston Shadrack amesimulia hali ilivyokuwa.

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ALONGA UMOJA WA MATAIFA

 Naibu Waziri wa  Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Mwigulu Nchemba ( Mb) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu masuala ya  Ushirikiano wa Kimaendeleo uliofanyika kwa siku mbili hapa Umoja wa Mataifa. Mhe. Naibu  Waziri  alikuwa mmoja wa wanajopo wanne walioendesha majadiliano hayo. Katika mchango wake, Naibu  Waziri pamoja na mambo mengine amesisitiza  kuwa  Ushirikiano wa Kimaendeleo bado  una mchango mkubwa katika ufanikishaji wa  suala zima la maendeleo endelevu lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani