LOWASA, SUMAE, NYALANDU WASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU WA KKKT KIMANDOLU ARUSHA
Waziri mkuu wa mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mamia ya waumini wa kanisa la KKKT Kimandolu jijini Arusha baada ya Ibada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob Masangwa kuwa askofu wa dayosisi ya kaskazini Kati leo Jumamosi Waumini hao walipigana vikumbo kumpiga picha na simu zao. Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Pinda mgeni rasmi sherehe za kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Ruvuma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi Askofu wa Kanisa la Kiinhili la Kilutheri Dayosisi ya Ruvuma, Amon Joel Mwenda katika ibada ya kumsimika kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo iliyofanyika mjini Songea Julai 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
MichuziNyalandu ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu Massangwa jijini Arusha
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Dkt. Bilal ashiriki ibada ya kuwekwa wakfu Askofu, Dkt. Abednego Keshomshahara wa kanisa la KKKT mkoani Kagera
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akimkpongeza Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera (kushoto) wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015. Katikati ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU, DKT. ABEDNEGO KESHOMSHAHARA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MAGHARIBI MKOANI KAGERA.
10 years ago
Dewji Blog23 Nov
Pinda ahudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa Anglican Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungungumza na Askofu Mpya wa Dayosisi ya Centra Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani (kulia) na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania , Dkt. Jacob Chimeledya katika Ibada ya kumweka wakfu Askofu Chilongani kwenye Kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014, (Picha na Ofisi ysa Waziri Mkuu).
11 years ago
Habarileo23 Jul
Masangwa askofu mpya KKKT
MCHUNGAJI Solomon Masangwa amechaguliwa kuwa Askofu mpya wa Dayosisi ya Kaskazini Kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).Masangwa amechaguliwa kufuatia kifo cha aliyekuwa askofu wa dayosisi hiyo, Dk Thomas Laizer, Februari 6, mwaka jana.
10 years ago
GPLALIYEZAA NA ASKOFU WA KKKT ATAKA D.N.A
9 years ago
VijimamboLOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA KKKT MONDULI
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Waumini KKKT wamkataa Msaidizi wa Askofu
Kanisa
Na Upendo Mosha, Moshi
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, wamemkataa Askofu Msaidizi wa jimbo hilo aliyekuwa amependekezwa kugombea nafasi hiyo, Mchungaji Elinganya Saria.
Tukio hilo lilitokea mjini hapa jana baada ya jina la mchungaji huyo kupendekezwa na Halmashauri Kuu ya Dayosisi kwa ajili ya kupigiwa kura.
Wakati wa tukio hilo, jina la Mchungaji Saria ndilo lilikuwa pekee lililokuwa limependekezwa, lakini...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10