Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘AJALI YA MORO, YAANI NI MUNGU TU!’

Na John Joseph
JUMAPILI iliyopita msafara wa wachezaji wa Yanga uliokuwa kwenye basi la timu hiyo ulinusurika katika ajali eneo la Mikese mkoani Morogoro wakati timu hiyo ilipokuwa ikitoka mkoani humo kwenda Bagamoyo, Pwani, baada ya mechi dhidi ya Mtibwa Sugar. Van akisadiwa kushuka. Katika tukio hilo ambalo lilitokea baada ya matokeo ya 0-0 ya mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara, kwenye basi hilo kulikuwa na wachezaji wa kikosi cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maiti ajali ya Moro watambuliwa

Idadi ya maiti zilizotambulika katika ajali ya basi la Aljabir lililogonga treni ya abiria ya Tazara imeongezeka na kufikia nane wakati majeruhi waliolazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Francis wakiwa wamebaki 20.

 

11 years ago

GPL

YANGA WAPATA AJALI MIKESE, MORO

Kikosi cha Yanga SC kimepata ajali baada ya basi lao kutumbukia mtaroni katika eneo la Mikese mkoani Morogoro. Basi hilo limepata ajali likitokea mkoani Morogoro kwenda Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro jana. Taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo. ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyezi Mungu utunusuru Watanzania na ajali hizi

> ‘Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wetu wote wapumzike kwa amani.’ Amina.

 

10 years ago

GPL

MWAKIFWAMBA ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MORO

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba. RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba jana usiku amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupata ajali na kupinduka eneo la Mkindu jirani na mizani mkoani Morogoro. Mwakifwamba alipata ajali hiyo wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki 'bodaboda' baada ya gari lake aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T 176 CYM kupata...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ummy wa Mambo Hayo Apata Ajali Moro

MWIGIZAJI mkongwe wa filamu  Ummy Mohamed amepata ajali mbaya maeneo ya Mikese Mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa akisafiri nalo la AlSaedy kugongana uso kwa uso na lori lilotaka kulipita basi hilo na kusababisha ajali hiyo mbaya basin a kuharibika sana.

Akiongea na FC kutoka eneo la ajali amesema kuwa basi hilo lilikuwa likitokea Ifakara kuja jijini Dar es Salaam safari ambayo iliishia maeneo ya Mikese baada ya kugongana uso kwa uso na Lori, yeye akimepata maumivu sehemu za mikono na...

 

10 years ago

GPL

MJANE: UKIPATA AJALI UKATOKA SALAMA MSHUKURU MUNGU!

Na Mwandishi Wetu
“SIKUAMINI kama kungekuwa na siku ndoto ya maisha yangu ingebadilika na kufikia hatua hii ya mateso yasiyo na ukomo, kwa sasa shughuli zangu zote zimesimama nimekuwa mtu wa kuishi kwa kuombaomba ndani ya miaka minne”
Hivyo ndivyo mkazi huyu wa Tandika Azimio, jijini Dar es Salaam, Luna Hassan Mwampyati (34) alivyoanza kuelezea mkasa wa ajali aliyopata na kupoteza kiganja cha mkono wake wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Msafara wa RC Moro wapata ajali, meya na waandishi waumia

Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe umepata ajali jana saa 9.30 alasiri eneo la Mizambarauni Darajani barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro.

 

10 years ago

GPL

VIFO KATIKA AJALI YA BASI NA FUSO MORO VYAONGEZEKA

IDADI ya vifo vilivyosababishwa na ajali ya basi la Nganga baada ya kugongana uso kwa uso na fuso kisha kuteketea moto jana katika eneo la Iyovi, Ruaha wilayani Kilosa katika barabara ya Morogoro - Iringa imeongezeka na kufikia watu 19. Kamanda wa Polisi Mkoa wa morogoro, Lenard Paul amesema hadi sasa miili sita imetambaulika na mingine bado haijatambulika kutokana na kuharibika vibaya. ...

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU! AJALI YA KONTENA MAFINGA

Na Mwandishi Wetu, Iringa
BADO Mji wa Mafinga wilayani Mufindi mkoani hapa haujakaa sawa kufuatia vifo vya watu 50 waliopoteza maisha kwa ajali ya kontena kudondokea Basi la Majinja lenye namba za usajili T 438 CED iliyotokea Machi 11, 2015, Uwazi limechimba. Mtoto aliyenusurika kwenye ajali. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Changarawe mjini Mafinga ambapo kontena hilo lilikuwa kwenye lori la mizigo la Scania lenye namba za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani