‘CHUMBA KILISHIKA MOTO NIKIWA USINGIZINI!’
![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVIZlxi06r9X4NpgjaX9McuxF5mB-sM7MhNzYgsdneaFcQGzUc2*KYkWqsK4t1U1R1s8gE08faLT*gMtO2DCsgvL/moto.jpg)
Stori: MAKONGORO OGING’ NA Haruni Sanchawa MWANAUME mmoja aitwaye Amani Mhegere (45) mkazi wa Yombo jijini Dar es Salaam, Julai 18, mwaka huu alinusurika kufa kwa moto baada ya nyumba yake kuanza kuungua akiwa usingizini. Bw. Amani Mhegere (45) aliyenusurika kufa kwa moto baada ya nyumba yake kuanza kuungua akiwa usingizini. Akizungumza na gazeti hili akiwa amelazwa katika wodi namba 23 iliyopo kwenye Jengo la Sewa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili22 Oct
Je wajua siri ya Mamba usingizini?
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Ujangili ulivyoiamsha Serikali usingizini
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Wanafamilia wapoteza fahamu usingizini
WATU wanne wa familia moja wakiwemo watoto wawili wamelazwa katika zahanati ya Kata ya Kisorya, wilayani Bunda, baada kupoteza fahamu katika mazingira ya kutatanisha wakiwa wamelala ndani ya nyumba yao....
10 years ago
Mtanzania03 Jun
Mbunge wa Ukonga afariki dunia usingizini
NA ARODIA PETER, DODOMA
MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa (55), amefariki dunia usiku wa kuamkia jana mjini Dodoma akiwa usingizini.
Akitangaza msiba huo bungeni jana, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, alisema Mwaiposa alifariki dunia akiwa nyumbani kwake eneo la Chadulu mjini hapa.
Alisema kwa muda mrefu mbunge huyo aliyeingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu.
Wabunge walikuwa wakiendelea kuchangia bajeti ya Wizara ya Afya na...
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Halmashauri ya Jiji Dar ‘yazinduka usingizini’
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Demokrasia Tanzania ni jinamizi linalotuvaa usingizini
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Komla Dumor; Mtangazaji aliyefariki akiwa usingizini
11 years ago
Mwananchi08 Jul
MAONI: Video ya uwindaji haramu iitoe Serikali usingizini
5 years ago
BBCSwahili17 May
Du Wei: Balozi wa China Israel anayedaiwa kuaga dunia akiwa usingizini