Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujangili ulivyoiamsha Serikali usingizini

Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira chini ya Mbunge wa Kahama, James Lembeli iliyotolewa hivi karibuni bungeni mjini Dodoma iliwapandisha hasira wabunge wenzake na hatimaye Mawaziri wanne wakajiuzulu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Video ya uwindaji haramu iitoe Serikali usingizini

>Video kuhusu uwindaji haramu hapa nchini iliyoonyeshwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msigwa itakuwa imewashtua wengi. Video hiyo inaonyesha pasipo kuacha shaka jinsi baadhi ya kampuni za uwindaji nchini zinavyotumia vibaya leseni zao na kufanya vitendo vya ujangili.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yaajiri 588 kukabili ujangili

WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa ajira mpya kwa watumishi wapya wapatao 588 ikiwa idadi kubwa miongoni mwao ni watumishi wa kada ya Ofisa Wanyamapori na Wahifadhi Wanyamapori, lengo likiwa ni kukabiliana na mashambulio mengi kutoka kwa majangili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yasisitizwa vita vya ujangili

SERIKALI imetakiwa kudhibiti ujangili kama ilivyo kwa uhalifu wa ujambazi ikiwa kweli kuna dhamira ya dhati kulinda wanyama wanaopotea kila mwaka hususani tembo na faru. Wito huo umetolewa na Mratibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali, viongozi wa dini kupiga vita ujangili

WIZARA ya Maliasili na Utalii imekutana na viongozi wa dini nchini kwa lengo la kupaza sauti ya pamoja katika vita dhidi ya ujangili na uhifadhi wa wanyamapori na biashara ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yajidhatiti kudhibiti ujangili na biashara haramu Nchini

2

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.(Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma).

Na Lorietha Laurence-Maelezo, Dodoma

SERIKALI imejidhatiti katika kudhibiti  ujangili na biashara haramu ya mazao ya maliasili kwa kuridhia na kutekeleza  mikataba minne ya kudhibiti ujangali wa tembo na unaovuka mipaka na kulinda mapori ya akiba.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mahmoud Mgimwa, bungeni Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mch. Peter...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yanunua bunduki 500 za AK47 kukabili ujangili

>Siku moja baada ya Tanzania kutajwa na Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) kuwa kinara wa biashara ya meno ya tembo Afrika Mashariki, Serikali imelipia kodi na kukabidhiwa bunduki 500 aina ya AK47 ili kukabiliana na ujangili katika hifadhi na mapori ya akiba nchini.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi waomba serikali kurudisha oparesheni tokomeza ujangili

DSC056171

Mkuu wa wilaya ya Manyoni, Fatuma Toufiq (wa kwanza kushoto) na anayefuata ni Dc wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda na mkuu wa wilaya mpya ya Ikungi, Manju Masambya (wa tatu kushoto).Picha zote na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Manyoni

SERIKALI wilaya ya Manyoni mkoani Singida imeiomba serikali kuu kuangalia uwezekano wa kurejesha mapema zoezi la oparesheni ‘tokomeza ujangili’, ili kudhibiti kasi kubwa iliyopo ya majangili kuua wanyama pori hasa tembo.

Ombi hilo limetolewa hivi...

 

11 years ago

Mwananchi

Tusidanganyike, Serikali inaijua fika mitandao ya ujangili, dawa za kulevya

Kutokana na mlolongo wa matukio ya muda mrefu ya kukamatwa kwa shehena kubwa za dawa za kulevya na nyara za Serikali zinazoingizwa hapa nchini au kusafirishwa kwenda nje ya nchi kila kukicha, wananchi wameanza kuhoji kama kweli Serikali inasema ukweli inapodai kwamba mpaka sasa haijaweza kubaini mtandao wa biashara hizo wala kuwakamata wamiliki halisi wa shehena hizo.

 

11 years ago

Michuzi

Mantra yasaini makubaliano na Serikali kupiga vita ujangili wa ndovu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) na Chris Sattler, Afisa Mtendaji Mkuu wa Uranium One, (wa pili kushoto) wakisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) ambao inairuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya urani ya Mantra Tanzania kuwekeza dola za Kimarekani 800,000 katika mwaka 2014 itakayo tumika katika shughuli za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyanya nchini Tanzania. Aliyesimama ni Galina Molchanova, Makamu wa Rais wa kamapuni ya Mantra Tanzania. Hafla hiyo fupi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani