Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘HIRIZI’ YA CHEGE YAIBUA GUMZO

Chande Abdallah/Mchanganyiko
MSANII wa muziki kutoka TMK Family, Chege Chigunda amezua gumzo la aina yake baada ya picha akiwa amevaa kitambaa cheusi kwenye mkono wake wakati akipafomu jukwaani kusambaa kwenye mitandao ya kijamii akidaiwa kuwa ni hirizi. Wasanii wa muziki kutoka TMK Family, Chege Chigunda wakishambulia jukwaa. Picha hizo zilipigwa kwenye Tamasha la PSPF mkoani Dodoma lililofanyika February 20 Mwaka huu ambapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Maimartha Jesse,Chege katika ‘bifu’ kisa hirizi.

Mtangazaji Maimartha Jesse na staa wa Bongo Fleva,Chege Chigunda wameingia kwenye bifu baada ya mtangazaji huyo kupost picha mtandaoni ikimuonyesha Chege akiwa jukwaani huku amefunga kitambaa cheusi mkononi na kuandika ….Angalia mkono Wa kushoto Wa chegge @chegechigunda hiiii ni hirizi ? any way isiwe kesi jiachie chege ila mziki mziki wako naupenda hata ukiniroga saw a Tu...japo cna imani hiyoo .

Akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown Chege alisema kuwa amemshangaa sana mtangazaji huyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko wa Hirizi (2)

Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye  maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini  zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtikisiko wa Hirizi

Siyo kwamba kila mwanadamu anaamini kuwa ili kutatua tatizo linalokukabili ni lazima awe na elimu ya kiwango cha juu, awe mjanja wa mjini au mcha Mungu ategemeaye  maombezi kwa kufanikisha mambo yake. Wako ambao hawapo katika makundi yote hayo. Wao huamini  zaidi katika kile kinachoitwa ’nguvu za giza’.

 

11 years ago

GPL

HIRIZI ZATUMIKA MAKANISANI

Stori:  Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
SIRI nzito imefichuka! Baadhi ya maaskofu na wachungaji (baadhi lakini) wa makanisa ya kilokole nchini wanadaiwa kutumia hirizi ili kujaza waumini, Uwazi limenyetishiwa. SEHEMU ZINAZOKAA HIZIRI
Kwa mujibu wa mfichua siri huyo, watumishi hao wa Mungu wanaojihusisha na ushirikina wamekuwa wakizifunga hiziri hizo sehemu ya juu ya mkono wa kulia na kufichwa na shati la mikono...

 

9 years ago

Vijimambo

ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH


Na Hamida Hassan
DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.
Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Tiffah.
Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo.
Hata hivyo, wakati Diamond akitoa ufafanuzi huo baada ya watu...

 

10 years ago

GPL

MAMA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI!

Stori: Shani Ramadhani na Rhoda Josiah NI maajabu ya dunia! Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’ lililopo Kata ya Kerege Manofu, Bagamoyo mkoani Pwani, Boniface Onesmo Mahera (38) (pichani), Bentha Seth (27) baada ya kubeba mimba kwa miezi tisa  hatimaye amejifungua hirizi, gazeti la kijamii, Uwazi lina mkasa wote. Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’,  Bentha Seth...

 

10 years ago

GPL

PAKA AFUNGWA HIRIZI MTINI

Stori: Dustan Shekidele, MOROGORO
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa hai alikutwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo mkoani hapa. Paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo, Morogoro. Tukio hilo lililokusanya umati mkubwa wakiwemo...

 

10 years ago

GPL

HIRIZI YAKUTWA KWA WEMA

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos/Risasi Mchanganyiko IMANI za kishirikina? Mshangao wa aina yake umetokea nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ baada ya kutupiwa hirizi getini kwake, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Wananchi wakishuhudia hirizi getini kwa Miss Tanzania 2006 asiyechuja, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’. Tukio hilo lililokusanya watu wapenda...

 

10 years ago

GPL

DENTI AKUTWA NA HIRIZI DARASANI

Stori: Na Dustan Shekidele, MorogoroM
MTOTO  mmoja wa miaka 9 (jina linahifadhiwa)  ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Manda iliyopo Kijiji cha Mtimbira, wilayani Ulanga, Morogoro wiki iliyopita usiku wa manane anadaiwa kukutwa darasani akiwa na hirizi kubwa kiunoni. Mwananchi akionesha Hirizi iliyofungwa kiunoni mwa mtoto wa miaka tisa (jina linahifadhiwa).
Tukio hilo lilitokea katika moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani