Lulu Atoboa Sababu ya Kutofanya ‘Movie’kwa Mwaka Mzima
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael,’Lulu’amefunguka sababu ya kutofanya filamu kwa mwaka mzima kuwa alikuwa bize na shughuli zingine ikiwemo masomo.
Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa mwaka jana wote alikuwa ‘host’ kwenye mashindano ya kutafuta vipaji vya uigizaji (Tanzania Movie Talents) ambayo ilifanyika karibu mikoa yote,pia alikuwa bize na masomo katika chuo cha Magogoni akichukua kozi ya Public Administration.
‘’Mwaka jana wote sikufanya filamu kabisa kutokana na kuwa bize...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LS1s1nkaAMo/Vltma5Y75FI/AAAAAAAIJD4/JRaiaHa3DOI/s72-c/moja.jpg)
MAJI ya Mtera yatakiwa kutunzwa kwa mwaka mzima
![](http://3.bp.blogspot.com/-LS1s1nkaAMo/Vltma5Y75FI/AAAAAAAIJD4/JRaiaHa3DOI/s640/moja.jpg)
9 years ago
Bongo502 Oct
Serena Williams atangaza kupumzika kucheza tenesi kwa mwaka mzima
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” Shilole amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Ali Kiba: Atoboa kuhusu 'mapenzi' na Lulu,ugomvi na Diamond-2
9 years ago
Bongo Movies21 Nov
Shilole Atoboa Sababu ya Kuuza Nyumba Yake Aliyokua Anajenga Kimara
Msanii Shilole aliwai kuingia kwenye headlines baada ya ku-post kwenye instagram picha ya nyumba yake ambayo alikua bado anaijenga. Caption ya picha hiyo ilikua inasomeka hivi, “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu”.
Eneo ambalo alilokua anajenga nyumba hiyo ni Kimara jijini Dar es Salaam lakini Shilole amesema kwamba ameuza nyumba hiyo ambayo ilikua bado haijaisha vizuri.
Akiongea na millardayo.com Shilole ametoa sababu za kuuza nyumba hiyo kama hivi,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX7NRVZY3VyH6MuvzeFzBmHY7e0W0KueFE0gl*5d8cjAOAa3E4u-MBqlQ4k-YnmLsZeoBncFhqu473geqITybAxY/Lulu.jpg)
AUNT LULU AANZA MWAKA KWA KUPIMA ‘NGOMA’
11 years ago
Dewji Blog17 Apr
Wanawake 8,500 kufariki dunia kila mwaka kwa sababu ya ujauzito
Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Evidence for Action (E4A) Tanzania,Craig John Felar, akitoa mada yake juu ya kampeni ya ‘Muokoe Mama muokoe mtoto mchanga’ (Mama ye) kwenye semina iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi kutoka vilabu vya waandishi habari mikoa mbalimbali nchini .Semina hiyo ya siku mbili iliyoandaliwa na UTPC,ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Lion hotel jijini Dar.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vilabu vya waandishi wa habari Tanzania ,wakifuatlia...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
DC ELIBARIKI KINGU: Jogoo mmoja sawa na matibabu mwaka mzima
HAYATI Mwalimu Julius Nyerere alitangaza maadui watatu wa maendeleo kuwa ni umaskini, maradhi na ujinga. Kutokana na tangazo hilo kwa wakati huo, kila taasisi kwa nafasi yake ilibeba jukumu la...
9 years ago
Bongo509 Nov
Inspekta Haroun kurap matukio ya mwaka mzima kwenye ‘Januari/Disemba’
![Inspekta](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Inspekta-300x194.jpg)
Inspekta Haroun amejipanga kufunga mwaka kwa kuachia wimbo uitwao Januari/Disemba utaokuwa ukizungumzia matukio yote ya mwaka mzima.
Inspekta amesema amefanya hivyo ili watu wabaki na kumbukumbu ya matukio ya mwaka 2015.
“Nimezungumzia matukio ya mwaka mzima kuanzia Januari mpaka Disemba na ni idea ili kupata kitu kizuri ambacho hata mtu akikisikiliza anaelewa mwaka umeendaje,” rapper huyo ameiambia Bongo5.
“Hii ngoma itatoka mwaka huu, sasa hivi nipo kwenye michakato ya kuimalizia na...