LULU: Bata la Watu Wa Bukoba Ni Noumer…Naendelea Kuoga Hela
Mwigizaji wa filamu,mrembo na mwenye mvuto wa kufanya wengi wapagawe, Elizabeth Michael aka Lulu ambae kwasasa yupo Mjini Bukoba kwa mapumziko mafupi. Akiwa katika viwanja vya kula bata mjini hapo Lulu hakusita kuwasifia watu wa kabira la Wahaya kwa njinsi alivyo furahia GOOD TIME alilopewa na kumfanya afunguke mwenyewe kwenye mitandao ya kijamii
“Wahaya noma......
Hili Bata la Watu wa Bukoba ni Noumer...! likizo isiishe jamani”
Haikuishiahapo, alitupia picha nyingi mtandaoni akiwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkEKqxcTPd6uBwc3QjIgk4qHMU7WBeT5YPQov-hH0jTPTIK2BK13DUBaJMWdoFVXu7uP3QeX00KvSWg78KAn2Gd5F/lulu.jpg?width=650)
LULU AWATIKISA MAPEDESHEE BUKOBA
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Yanayosababisha mwili kuwasha baada ya kuoga
10 years ago
Vijimambo28 Nov
PELE NAENDELEA VIZURI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/27/141127164333_pele_640x360_afp_nocredit.jpg)
Habari hizo zinajiri baada ya gwiji huyo wa soka kusema katika mtandao wa twitter kwamba anaendelea kupata afueni katika hospitali moja ya Albert Einstein iliopo mjini Sao Paulo.
Hatahivyo msaidizi wa mzee huyo mwenye umri wa miaka 74, Jose Fornos alipuuzia habari hizo.Lakini hospitali hiyo imesema kuwa Pele...
10 years ago
Bongo Movies15 Jul
Riyama:Naendelea Vizuri
Alhamdulilah sijambo kiasi na mshukuru MUNGU NINA MALARIA WADUDU WAWILI na tumbo la chango chamoto nimekiona kwa muda mfupi tu waungwana wangu mwenye dawa nzuri ya tumbo la chango tusaidiane dah nimebebwa wallah nguvu zote kwisha asante sana kwa familia yangu na kwa mume Wangu mtarajiwa @leomysteriotz pia shukran kwa Mikumihospital Mungu awajazekheri ishalah Amin duwa zenu vipenzi vyangu
Riyama Ally on instagram
10 years ago
Bongo Movies20 May
Anti Lulu Awatishia Wake za Watu
Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake. Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinamuonesha maumbile yake wanawake.
"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kuniyukana nikiweka picha zangu za Mungu alivoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee...
9 years ago
Bongo508 Dec
Music: Baby Boy Ft Mr Blue – Naendelea
![Baby Boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Baby-Boy-300x194.png)
Msanii Baby Boy baada ya kuwa kimya kwa mda ameachia wimbo mpya unaitwa “Naendelea”, Amemshirikisha Mr Blue. Studio Kiri Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Lulu Awaacha Watu Njia Panda…..Je ni Kweli Mjamzito?
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha njia panda mashabiki na wafuasi wake kwenye mtandao wa INSTAGARM baada ya hapo jana usiku kubadika picha ya mwanamke mwenye ujauto na kuandika maneno ambayo hayaelezi wazi kuwa ni yeye.
“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.
Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane kuja kuona wala kufanya kijiwe cha kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVkvQrN2WuwD35r-iKHCD4y631izfBt*uoiGJWhq0fFf4xymWkUgyWC6kW7nsIV9sYYeNIBN4XaUPHYt3G1800j3/1.jpg?width=650)
MZEE MAJUTO, LULU, MILLARD AYO WANG’ARA TUZO ZA WATU