LULU: SICHANGANYI MADAWA KAMA WENGINE
![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5Bg0flj9SzLujEeNLVpEXeF7Cz9V3ugdw9mkCmKHXcb-1WjF7oXwb4RdATjHffgly5Afn8O65sD7ozWB7dS7UMa/ElizabethMichaellulu.jpg?width=650)
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori: shani ramadhani MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema katika maisha yake ya sanaa hataweza kufanya kazi nyingine mbali na kuigiza kama ambavyo wasanii wengine wanafanya. Akipiga stori na mwandishi wetu, Lulu alisema, amegundua kuwa kila kitu kinatakiwa kifanywe kama kazi na yeye atakuwa akifanya kazi yake ya kuigiza tu na si...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
Lulu: Mmoja Kati ya Hawa Akinichukia Ndio Nitapata Pressure, Lakini Wengine…..
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael “Lulu” akiwa na familia yake, Mama na mdogo wake wanapata ‘Lunch’ Aliweka picha hii mtandaoni na kuandika kuwa, kama ikitokea mmoja kati ya wanafamilia hao, akimchukia ndio anaweza akapata ‘pressure’ lakini wengine wote hata wamchukie hawezi kujali na atatafuta njia ya kushughurika nao.
“Lunch thngz wth Family, Ikitokea mmoja kati ya hawa akanichukia ndo ntaweza kupata pressure....but the rest, I'll search 4 a Fck to give” Lulu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaKbPBIekOqTykBdW98cq*yXV7hol7wMo9XPb7q-Gk7RoX8FvGHv00nhFwVLDpa7lM1Tb1ySd0FtdYnP2rF1R93G/Mtoto.jpg?width=640)
MAMA: NISAIDIENI MWANANGU AWE KAMA WATOTO WENGINE
9 years ago
Bongo528 Oct
Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPx5jvyg8qp681JRtHgXINf7LbPfS1yUK7UmNNICrpzPBfcLmo*dSSmbSBHZGC9-UgESKkD4fAnyyDAgKeHIQZmW/lulu.jpg?width=650)
LULU: KAMA SI KANUMBA YANGENIKUTA MAZITO
9 years ago
Bongo509 Nov
Angelina Jolie: Mimi na Brad Pitt tuna matatizo kama wanandoa wengine
![bradjelina_2980307b](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/bradjelina_2980307b-300x194.jpg)
Mastaa nao wapo kama sisi tu.
Angelina Jolie alizungumzia maisha na mume wake Brad Pitt Jumapili ya Nov. 8, na kuweka wazi kuwa mastaa hao nao wana wakati wa shida na raha kama watu wengine kwenye uhusiano.
“Mimi na Brad tuna matatizo kama wanandoa wengine wowote,” Jolie, 40, aliliambia gazeti la The Telegraph wakati akipromote filamu yake mpya, By the Sea. “Tuna siku ambazo hujikasirisha vibaya sana lakini matatizo kwenye filamu hii sio yetu wenyewe.”
Filamu hiyo iliyoongozwa na Jolie...
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Mbwa wanaosujudiwa kama watoto, lulu na mapenzi
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Lulu: Nampenda Wema kama dada yangu
NA THERESIA GASPER
KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepetu, utakuwa umekosea, kwani hakuna ugomvi kati yao.
Lulu alieleza kwamba wamekuwa wakishirikiana na Wema Sepetu katika mambo mbalimbali, ikiwemo sherehe, misiba na mijumuiko mbalimbali.
“Nampenda Wema kama dada yangu na yeye ananipenda vile vile, nimekuwa nikihudhuria kwenye shughuli mbali mbali ambazo zinamhusu, nilishiriki vema katika msiba wa baba yake na sherehe zake...
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Maneno Haya ya Lulu ,Yachukulie Kama Changamoto
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe mzuri ambao kiukweli unaweza kukupa nguvu zaidi kufikia malengo yako kama mtu unaejitambua.
“The more they try to slow you down on the road of purpose, the faster you have to go..!
You only meet opposition when you're going the right way”
Kwa tafsiri isiyo rasmi anasema “kwa jinsi wanavyozidi kujaribu kukurudisha nyuma katika njia ya mafanikio ndio inakubidi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dwwo8XgP2Io/VQdGUN30ISI/AAAAAAAC1ro/LvIJ9yVwyg4/s72-c/18.jpg)
KINANA-WANANCHI WA KARATU WANA HAKI YA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI ZA MAENDELEO KAMA WENGINE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-dwwo8XgP2Io/VQdGUN30ISI/AAAAAAAC1ro/LvIJ9yVwyg4/s1600/18.jpg)
Hata hivyo Kinana...