Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF AKITEMBELEA SEHEMU ZILIZOPATA MAAFA ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mvua katika shehia za Mwanakwerekwe, Jang’ombe na Kwahani.Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dkt. Khalid Salum, akimuonyesha Maalim Seif maeneo yaliyoathirika na mvua huko Mwanakwerekwe.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitoa maelekezo, wakati akitembelea maeneo yaliyoathirika na mvua katika manispaa ya Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif atembelea sehemu inayoingia maji ya chumvi katika eneo la Kilimani mjini Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea sehemu inayoingia maji ya chumvi katika eneo la Kilimani mjini Zanzibar. Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Zanzibar Sheha Mjaja Juma, akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, kuhusiana na kuingia maji ya chumvi katika eneo la Kilimani mjini Zanzibar. Afisa Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja Dr. Makame Ali Ussi, akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AKABIDHI MSAADA WA MAAFA

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui (kulia), akikabidhi fedha taslimu shilingi milioni 15 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwinyi Khamis, kusaidia watu waliopatwa na maafa yaliyotokana na mvua. Anayeshuhudia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Abdallah Mwinyi Khamis, akifurahi pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kukabidhiwa shilingi milioni...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar Bw. Said Ndubugani, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hatua zinazochukuliwa na mamlaka hiyo katika kuimarisha viwanja vya ndege, alipofanya ziara ya kutembelea eneo hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo mbali mbali ya uwanja wa ndege wa Zanzibar katika ziara yake ya kutembelea eneo hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKAGUA UWANJA WA NDEGE NA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar Bw. Said Ndubugani, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hatua zinazochukuliwa na mamlaka hiyo katika kuimarisha viwanja vya ndege, alipofanya ziara ya kutembelea eneo hilo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo mbali mbali ya uwanja wa ndege wa Zanzibar katika ziara yake ya kutembelea eneo hilo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

9 years ago

Mtanzania

Maalim Seif acharuka Zanzibar

maalim seifNA MWANDISHI WETU, PEMBA

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema ana matumaini makubwa uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu licha ya kauli za baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuashiria kuvurugwa amani na umoja wa kitaifa kwa wananchi wa Zanzibar.

Maalim Seif alitoa tamko hilo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika majimbo ya Chakechake na Wawi uliofanyika katika uwanja wa Ditia Wawi, kisiwani Pemba...

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishin wa Habari katika ofisi za CUF Mtendeni kuhusiana na maendeleo ya “mkwamo” wa kisiasa Zanzibar. Picha na Salmin Said, OMKR
Na Hassan Hamad (OMKR)Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema jitihada za kuutafutia ufumbuzi mkwamo wa kisiasa Zanzibar uliotokana na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Bw. Jecha Salim Jecha baada ya kutangaza kufuta uchaguzi...

 

9 years ago

Mwananchi

Nitaifanya Zanzibar Singapore - Maalim Seif

Mgombea urais kwa tiketi cha Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad, amerejea ahadi zake za mwaka 1995 kwa kuwahakikishia Wazanzibari kuwa iwapo watampa ridhaa ya kuingia madarakani, ataibadilisha Zanzibar na kuwa Singapore.

 

9 years ago

BBCSwahili

Zanzibar:Shein akutana na Maalim Seif

Mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiwa cha Zanzibar yameendelea huku mkutano uliowaleta pamoja rais Ali Mohammed Shein na kiongozi wa upinzani Seif Sharrif Hamad ukifanyika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta amwangukia Maalim Seif Zanzibar

WAKATI zikiwa zimesalia siku nne kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuahirishwa, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba yuko visiwani Zanzibar kwa lengo la kuteta na viongozi wakuu visiwani humo. Ziara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani