Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabaharia walilia bima ya maisha

MWENYEKITI wa Umoja wa Mabahari nchini, Frank Chuma, amesema wapo katika mchakato wa kuhakikisha kila anayefanya kazi majini anapatiwa bima ya maisha. Alisema suala la kuwa na bima ya maisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais kikwete apokea hundi ya Bima ya Maisha

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hundi ya malipo ya Bima ya Maisha(Flexi Provider) kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa(National Insurance Corporation of Tanzania Limited) NIC Bwana Sam Kamanga Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Akimkabidhi hundi hiyo,  Bw. Sam Kamanga amesema uwepo wa Mheshimiwa Rais kama mteja wa NIC imesaidia kukuza uelewa na shughuli za shirika hilo.“Kitendo cha Serikali kukatia Bima mali zake na taasisi zake, kumeongeza uwezo wa kifedha wa...

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Promota anayetaka kunipandisha ndege lazima tuandikishane kwenye bima ya maisha

Usafiri wa ndege ndio usafiri wa hara zaidi, lakini kwa Dully Sykes ndio usafiri ambao anaouogopa na kuukwepa katika maisha yake kiasi cha kuwa tayari kukataa show ambayo itamlazimu kupanda ndege. “Sikurogwa wala nini ni tatizo tu linalowatokea watu wengi sio mimi pake yangu”. Dullysykes ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. Dully amesema promota […]

 

11 years ago

Mwananchi

Bima Lee: Bendi ya Shirika la Bima iliyotamba kwa mtindo wa Magnet Tingisha

Muziki wa dansi nchini una historia pana ikiwahusisha wanamuziki, kazi zao na bendi walizowahi kupitia kama ajira lakini pia kukua kimuziki.

 

5 years ago

CCM Blog

MABAHARIA 940 WAKUTWA NA CORONA

Wizara ya Afya Ufaransa imesema Mabaharia 940 kati ya 2300 waliomo kwenye meli ya kubebea ndege za kijeshi ya Ufaransa, Charles de Gaulle, wamekutwa na corona, Meli hiyo imeegeshwa kwenye Bandari ya Toulon

 “Kati yao wagonjwa 20 wamelazwa, 8 wanasaidiwa kupumua na mmoja yuko ICU”

Jeshi limeanza uchunguzi ili kupata majibu yatakayowezesha kubaini corona imeingiaje kwenye Meli hiyo.

Hadi takwimu za muda huu Ufaransa ina jumla ya vifo 18,681 vya corona na visa 109,252.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mabaharia wa meli ya Malaysia waachiliwa

Mabaharia 11 wa meli moja ya Malaysia iliotekwa nyara na maharamia wa Somali wameachiliwa huru .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mabaharia walia kutoswa miradi ya gesi

UMOJA wa mabaharia nchini wamesikitishwa na kitendo cha serikali kushindwa kuwasimamia kupata ajira ya uchorongaji wa gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wamesema tangu kazi hiyo ianze, hakuna baharia...

 

10 years ago

Mwananchi

Mabaharia walalamikia ‘kutoswa’ katika ajira

Jumuiya ya Mabaharia Tanzania, imeitaka Serikali kusimamia upatikanaji wa ajira zao zilizoporwa na kupewa wageni katika ‘rig’ meli kubwa zinazofanya kazi ya utafiti na uchimbaji mafuta na gesi nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Mabaharia wapata njia ya kuongeza ajira

JUMUIYA ya Mahabaria nchini imesema muda wowote kuanzia sasa itaanza kupeleka mabaharia 200 katika vyombo vya uchakataji, utafutaji, uchimbaji na usambazaji wa gesi baharini ikiwa ni hatua ya kupunguza tatizo la ajira nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Mabaharia wataka kazi meli za utafiti wa mafuta

JUMUIYA ya Mabaharia Tanzania imeiomba Serikali kuajiri wanachama wake katika meli za utafiti na uchimbaji mafuta na gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani