Mabasi yalipa 65,000/- kupuliza dawa ya dengue
MABASI yaendayo mikoani yanalipa Sh 65,000 kwa ajili ya kupuliza dawa ndani ya magari hayo ikiwa ni hatua ya kupambana na ugonjwa wa dengue nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Zanzibar kuanza kupuliza dawa majumbani Feb 15
Meneja kitengo cha kumaliza Malaria Zanzibar Bw. Abdalla Suleiman Ali akizungumza na waandishi wa habari juu ya zoezi la upigaji dawa ya kuuwa Mmbu wa Malaria zoezi hilo litaanza tarehe 15/02/2015 mpaka 26 kwa Unguja na Pemba ni tarehe 28 mwezi huu, Dawa itayotumika ni ACTELIC ambayo ipo salama kwa binadam taarifa hiyo kaitoa Ofisini kwake mwanakwerekwe Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga -Maelezo Zanzibar.
Na Makame Mshenga -Maelezo Zanzibar.
Jumla ya nyumba 34,874 zimelengwa kupigwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z5JI1NefIDY/XoY6i4N4PKI/AAAAAAALl4g/Y8bV64ciycoyhsvvMC1scempOjPsY1pLgCLcBGAsYHQ/s72-c/8dbb392a-9d26-45fb-bb1f-59bcf9a2fdbc.jpg)
Manispaa ya Ubungo yachukua tahadhari ya Virusi vya Corona kwa kupuliza dawa maeneo mbalimbali
Manispaa ya Ubungo imesema kuwa iko katika mkakati wa upuliziaji dawa katika maeneo ya mbalimbali ikiwemo na sehemu za huduma za kijamii.
Akizungumza na Michuzi TV Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic Swai amesema kuwa mkakati huo ni kuchukua tahadhari ya kujikinga na Virusi vya Corona.
Swai amesema kuwa katika kipindi chote hiki wananchi wazinagatie usafi wa kunawa mikono katika sehemu za huduma za Jamii kwani vifaa wameweka wameweka.
Amesema ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZJG-jMYT2_g/Xn7k78Fk2gI/AAAAAAALlWg/lHJ-IoXwSTMMcUUhJhEELU6iKlKrPEPqQCLcBGAsYHQ/s72-c/0335e4ed-ca65-407b-a452-afedd86344fc.jpg)
ARUSHA YAZINDUA ZOAEZI LA KUPULIZA DAWA KUUWA VIJIDUDU NA KUWAKINGA ABIRIA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
Na Jusline Marco;Arusha
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Gabriel Daqarro amezindua zoezi la upulizaji wa dawa ya kuuwa vijidudu kwa lengo la kuwakinga abiria na maambukizi ya virusi vya Corona pindi wanapotumia vyombo vya usafiri.
Zoezi hilo limezinduliwa leo rasmi kwa mabasi yanayotoka Jiji la Arusha kuelekea mikoa mingine , pamoja na vyombo vingine vya usafiri wa umma vinavyotumika katika safari za ndani ya Jiji la Arusha.
Mhe.Gabriel Daqaro amesema kuwa operesheni hiyo ya upulizaji wa dawa...
5 years ago
MichuziTUNAANZA RASMI ZOEZI LA KUPULIZA DAWA YA KUUA WADUDU NA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA KESHO-RC MAKONDA
RC Makonda amesema kwa kufanya hivyo itasaidia pia kuua Vimelea na Wadudu kama Mbu wanaoenzeza ugonjwa wa Malaria, homa ya dengu na magonjwa mengineyo na kufanya jiji hilo kuwa katika hali nzuri...
11 years ago
Mwananchi14 May
Usiombee kuugua dengue, kipimo Sh50,000
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Dengue yaua watu 25,000 kila mwaka
Na Selina Wilson
WATU 25,000 wanapoteza maisha kila mwaka kutokana na ugonjwa wa homa ya dengue ulioenea katika nchi 110 duniani, ikiwemo Tanzania.
Hayo yalisemwa jana mjini Dar es Salaam na Mtaalamu wa Udhibiti na Ufuatiliaji Magonjwa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Geofrey Mchawa, katika mafunzo ya siku moja ya waandishi wa habari za afya kuhusu ugonjwa wa dengue.
Alisema takwimu zinaonyesha kuwa watu 50 hadi 390 wanaambukizwa ugonjwa huo kila siku duniani na kwamba kwa hapa nchini,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
VIDEO: JINSI YA KUTENGENEZA JUISI YA MAJANI YA PAPAI KAMA DAWA YA DENGUE!
11 years ago
Habarileo17 May
Mabasi, hoteli zote Dar kupuliziwa dawa ya mbu
MKOA wa Dar es Salaam umeagiza kupulizia dawa za kuua mazalio ya mbu katika mabasi yanayoenda nje ya Dar es Salaam, katika hoteli, shule na vyuo, masoko na majengo yote ya taasisi za serikali na binafsi ili kupambana na ugonjwa wa dengue.
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19