Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maboresho ya gatepass ya mlimani city yaonekana...heko chui

Mdau baada ya kupata ile gatepass ya KIA siku zilizopita hatimae wahusika wamekuja na mahususi ya hapahapa Mlimani City mall....heko Chui Security  Mdau Kafanabo wa Tukuyu Makandana

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AWASILI MLIMANI CITY

Muungano wa wasanii wameandaa hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kumpongeza na kumkaribisha Mheshimiwa John Pombe Magufuli ,Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi,inayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City .Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kuhudhuria hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

TheCitizen

Mlimani City mall still insecure

>As patrons at Dar es Salaam’s Mlimani City shopping complex come to terms with the recently introduced parking charges, insecurity in and around the place remains a concern.

 

11 years ago

GPL

HOFU YA BOMU MLIMANI CITY

Na Waandishi Wetu HUKU watu karibia 60 nchini kenya wakiuawa kwenye mashambulizi ya kigaidi, katika hali isiyo ya kawaida nchini Tanzania, walinzi wa Maduka ya Mlimani City jijini Dar wamejikuta wakipata mchecheto wa aina yake baada ya kitu kilichodhaniwa ni bomu kukutwa kwenye eneo la kuegeshea magari. Walinzi wa maduka ya Mlimani City jijini Dar wakikagua kitu kinachosadikika kuwa ni bomu. Tukio hilo lilitokea Juni 16, mwaka...

 

10 years ago

GPL

KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY

Na Imelda Mtema SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ‘shopping’ Mlimani City ambapo watu walikuwa wakiwakodolea macho kwa jinsi alivyolingana na mtoto wake. Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula. Kajala alitinga eneo hilo na mtoto wake huyo aitwaye  Paula ambapo awali walienda kupata chakula katika mgahawa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Shamrashamra za kumuaga Jakaya Mlimani City

Jose Mara, Fid Q, Bushoke na Ruby ni kati ya wasanii ambao walifanikiwa kumuwezesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kuianza wikiendi yake vizuri baada ya kumrudisha enzi zake kiburudani kwa kumpigia nyimbo alizozipenda enzi za ujana wake, katika hafla ya kumuaga iliyofanyika usiku wa kuamkia jana katika Ukumbi wa Mlimani City.

 

10 years ago

GPL

ONESHO LA SITES KUFANYIKA MLIMANI CITY, DAR

Meneja Huduma wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Dawit Mekonnen (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni Ofisa Mauzo Mkuu wa shirika hilo, Lima Dsilva (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi (katikati) na Meneja Huduma wa Utalii, Philip Chitaunga.  Viongozi hao wakisikiliza maswali kwa… ...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ofa’ Shoprite yazua tafrani Mlimani City

 Ofa ya punguzo la asilimia 50 kutoka duka la bidhaa la Shoprite, lililopo Mlimani City, jana ilizua taharuki baada ya kufurika umati mkubwa wa watu wakigombea kuingia ndani ya duka hilo bila kufuata utaratibu wa kupanga foleni.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mpango Mbaya ya Mwanaafa Kurushwa Mlimani City

KATIKA kutafuta ubora wa filamu kuelekea kimataifa filamu kubwa ya Mpango Mbaya inayowashirikisha wasanii walioibuliwa na mradi wa kuibua vipaji nchini nzima wa Tanzania Movie Talent 2014(TMT) inatarajia kurushwa katika jumba la Sinema Mlimani City tarehe 12.June 2015 anasema Staford Kihore.

“Hatua ya kwanza ilikuwa ni kutafuta vipaji halisi na kuwapatia elimu ya uigizaji, kupitia TMT na hatua ya pili ni kuwachanganya na wasanii waliopo katika tasnia pili ni kwenda kimataifa kwa filamu yao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani