Machumu: Sua imenivusha
Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu amekishukuru Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kumvusha kitaaluma hatua iliyomwezesha kuwa katika nafasi aliyonayo sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Machumu mshindi tuzo uongozi Afrika Mashariki
9 years ago
Habarileo21 Aug
SUA yafanya mageuzi ya muundo
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kipo katika mageuzi ya muundo wake kutokana na kuandaliwa kwa mpango utakaoshusha madaraka katika ngazi za chini.
10 years ago
BBCSwahili05 May
Masumbwi Tanzania yasua sua
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Sua, vyuo sita vyaanzisha mradi
10 years ago
Daily News29 Oct
SUA opens resource discovery tool
Daily News
SOKOINE University of Agriculture (SUA) has become one of the first universities in the country to introduce an online information resource discovery tool, LibHub, to increase accessibility to online information. Sokoine National Agricultural Library (SNAL) is ...
10 years ago
Habarileo30 Nov
SUA yatoa walimu wa sayansi 193
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeendelea kutoa majawabu ya msingi ya kukabiliana na uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi wa shule za sekondari nchini baada ya kuwatunukia shahada ya kwanza ya ualimu wa masomo hayo wahitimu 193 miongoni mwao wanawake wakiwa ni 61.
10 years ago
Habarileo23 Feb
Wanafunzi SUA wasifu jitihada za serikali
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), wameipongeza Serikali ya Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete kwa kuendelea kuboresha elimu katika nyanja mbalimbali, ikiwemo ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi kwenye shule za sekondari nchini.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Wanasayansi, wataalamu 100 kukutana SUA
CHUO Kikuu cha Kilimo (SUA) na kile cha Marekani katika mji wa Ohio (OSU), kinatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu, utakaokutanisha wanasayansi na wataalamu wa biashara ya kilimo 100 kutoka mataifa mbalimbali.
10 years ago
TheCitizen25 Oct
SUA hosts infectious disease experts