Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Macsonet wafuatilia elimu ya sekondari Magu

UPATIKANAJI wa huduma ya maji, ruzuku za wanafunzi (capitation grant) na walimu wa masomo ya sayansi ni miongoni mwa changamoto zinazohitaji ufumbuzi ili kuboresha elimu ya sekondari katika Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza.

Ufuatiliaji uliofanywa na timu ya Mtandao wa Mashirika Yasiyo ya Serikali wilayani Magu (Macsonet) wiki iliyopita umebaini changamoto hizo katika shule za sekondari za Kandaye, Magu na Ng’wamabanza.

Timu ya Macsonet ilijikita katika kuhoji uwajibikaji wa wadau,...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

LUGUMI ENTERPRISES LTD YAKABIDHI PAMPU YA MAJI NA SHILINGI MILIONI 10 KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU MAGU SEKONDARI MAGU.

Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD inayomiliki makampui ya Ran IT Solutions (EA) LTD na KZ Securty, Eligod Justine Sangawe (kushoto) ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wake Bw. Said Lugumi, kukabidhi msaada wa Pump ya maji inayotumia umeme na fedha taslimu shilingi milioni kumi kwa Afisa Elimu Takwimu (W) Sekondari bw. John M. Mangu  katika makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya shule ya Sekondari ya Magu. Meneja wa Kanda ya Ziwa Kampuni ya Lugumi Enterprises LTD...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.

Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI 'IMPERIAL' KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akipokelewa na Mabalozi wa shule ya sekondari ya Imperial wakati alipowasili kwenye banda la shule hyo jana na kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Mkuu wa shule hiyo na waalimu. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akiingia katika banda la shule ya sekondari Imperial.… ...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA ELIMU KUONGOZA HARAMBEE YA SEKONDARI ENABOISHU, ARUSHA

Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Enaboishu, Emmanuel Munga akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawako pichani). WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, anatarajiwa  kuwa mgeni rasmi katika kuchangia harambee ya ujenzi wa madarasa na vyumba vya walimu wa Shule ya Sekondari Enaboishu  iliyoko wilayani Arumeru mkoani Arusha. Akiongea na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaama, mwenyekiti wa bodi ya ...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA yatoa elimu Shule ya Sekondari ya Wavulana Mwandege

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa katika matumizi ya mitandao kuacha kuweka vitu binafsi katika mitandao.
Akizungumza wakati wa utoaji elimu ya kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya  Wavulana Mwandege wilayani Mkuranga mkoani Pwani  Afisa Masoko wa Mamlaka hiyo  Dorice Muhimbila amesema kuwa Wanafunzi ni muhimu kuwa elimu hiyo ili wakianza kumiliki simu waweze kutumia mawasiliano hayo salama.
Muhimbila amesema kuwa elimu hiyo wanayoitoa ni...

 

5 years ago

Michuzi

UMEMEJUA WAPIGA JEKI ELIMU SHULE YA SEKONDARI MORETO

Nyamiti Kayora

Shule nyingi za Sekondari hususani za vijijini zimekuwa zikikabiliwa na ukosefu wa nishati ya kuendesha maabara na mwanga wa kujisomea kwa wanafunzi waishio katika mazingira ya shule (bweni).

Uhaba huo umesababisha maeneo hayo kutofanya vyema kimasomo kuliko wale wenye nishati hiyo.

Shule zinazojiweza zimeweka umemejua wakati baadhi ya zile zisizokuwa na uwezo huo hasa za umma zimekuwa zikifadhiliwa na wahisani mbalimbali kama ilivyo shule ya sekondari Moreto. Shule hii ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU AFURAHISHWA NA UJENZI WA SEKONDARI YA WASICHANA WILAYANI CHAMWINO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndungai akitoa ufafanuzi juu ya maendeleo ya ujenzi wa shule maalum ya wasichana inayojengwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.Muonekano wa baadhi ya majengo ya shule ya sekondari maalum ya wasichana inayojengwa wabunge wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chamwino Jijini Dodoma
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri awashusha vyeo ofisa elimu, wakuu wa shule za sekondari

Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Kassim Majaliwa, ametengua uteuzi wa Ofisa Elimu ya Sekondari wa Wilaya ya Mbinga, Hanji Godigodi na wakuu sita wa shule za sekondari wilayani humo kwa tuhuma za ubadhirifu Sh60 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani