Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAHA, MDOMO ULIPONZA KICHWA

NI mara yangu ya pili kumzungumzia Baby Madaha katika safu hii. Nilimsifu kwa kadiri ninavyomfahamu, kwamba ni muimbaji mzuri na anayefanya kazi yake vizuri kabisa, hasa hivi sasa anapokuwa balozi mzuri wa nchi, kwani anafanya shughuli zake na meneja kutoka Kenya. Hapa nyumbani licha ya muziki, lakini anafanya pia filamu na huko kote amekuwa akifanya vizuri. Ingawa hajafikia kiwango cha kuweza kumlinganisha na msanii mkongwe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari

Leo ni siku ya Saratani Duniani. Wakati tunaadhimisha siku hii hapa nchini idadi ya vijana ambao ni tegemeo la taifa inazidi kupungua kutokana kuangamia kwa saratani ikiwemo ya koo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mdomo wamponza mwanamke Pakistan

Mwanamke mmoja amehukumiwa adhabu ya kifo nchini Pakistan kwa kosa la kufuru.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanayosababisha mdomo kutoa harufu mbaya

Katika maisha ya kila siku inawezekana umewahi kukutana na mtu ambaye ukiwa karibu naye kimazungumzo, utagundua anatoa harufu mbaya mdomoni.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Bamuyu Kijogoo — Funga Mdomo

Video mpya kutoka kwa msanii Bamuyu Kijogoo baada ya kuwa kimya ameachia wimbo unaitwa “Funga Mdomo” video imeongozwa na Nick Dizzo

 

11 years ago

Mtanzania

Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari

Dar es Salaam

Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam

KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.

Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...

 

11 years ago

Habarileo

Mume, mke wamng’oa mdomo mtalaka

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mume na mke kumshambulia mtalaka wake Faustina Komba (35) mkazi wa jiji la mbeya kwa kumpiga ngumi, makofi na kumng’ata mdomo wake wa chini na kuuondoa wote.

 

10 years ago

GPL

BATULI: SIASA IMENIFANYA NIFUNGE MDOMO

MSANII wa filamu Bongo, Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa ukimya wake wa kipindi hiki ni kutokana na mambo ya siasa yanayoendelea hivi sasa hivyo ameamua kufunga mdomo wake.Akizungumza na Amani, Batuli alisema kuwa ukimya wake unamsaidia sana ndiyo maana ashabikii upande wowote mpaka maamuzi yatakapotolewa ni chama gani kitatawala nchi yetu.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1TwelNv ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Party ya Amanda, Walishana Keki Kwa Mdomo!!

Mwigizaji wa filamu ,Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.

Pati hiyo ilifanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Tamigamiga, Mbezi Beach jijini Dar ambapo mbali na staili hiyo ya kulishana keki, eneo la tukio lilitawaliwa na vituko kutokana na mastaa wengi kuwa bwii.

Akizungumzia sherehe hiyo Amanda alisema: “Ilikuwa ni siku muhimu sana...

 

9 years ago

Mwananchi

Mdomo wamponza Mourinho afungiwa, kupigwa faini

Klabu ya Chelsea na kocha wake, Jose Mourinho wamepinga uamuzi wa Chama cha Soka (FA) kumwadhibu kocha huyo kwa kauli alizozitoa karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani