Madanguro, ‘gesti’ vyaathiri watoto
UKATILI, udhalilishaji na ukiukaji wa haki za mtoto, ikiwemo tabia ya wazazi au walezi kuwatuma watoto vileo na kwenda nao kumbi za starehe vinadaiwa kukithiri hali ambayo Serikali imeshauriwa kuchukua hatua kuvidhibiti.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WATOTO WANASWA GESTI!
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
KWELI ni watoto! Wanafunzi wawili, wa kike ana miaka 14Â (darasa la saba), wa kiume miaka 15 (kidato cha kwanza) mjini hapa wanadaiwa kukutwa ndani ya gesti moja ikisemekana walikuwa na lengo la kuivunjilia mbali amri ya sita ya Mungu. Binti huyo akidhibitiwa na polisi. Tukio hilo lililojaza umati lilijiri hivi karibuni katika gesti hiyo ambayo inadaiwa haina usajili halali iliyopo jirani...
11 years ago
GPL
MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE GESTI
MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu. Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Devi baada ya kufumaniwa na mke wa rafikiye. Mtoa habari makini aliliambia gazeti...
11 years ago
BBCSwahili31 Oct
Sudan K:Vita vyaathiri afya ya akili
Mapigano Sudan Kusini, yamesababisha raia wengi wa taifa hilo kupata magonjwa ya akili.
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Binti asimulia Watanzania wanavyotumikishwa kwenye madanguro China
>Wakati wanawake kwa wanaume wengi huenda barani Asia, hasa China kununua bidhaa kwa ajili ya kuja kuzichuuza, hali sasa ni tofauti kwa kuwa kuna wasichana ambao huenda huko kwa ahadi za ajira, lakini huishia kufanya ukahaba kwenye madanguro, gazeti hili linaweza kukuthibitishia.
11 years ago
GPL
BALAA GESTI
Stori: MWANDISHI WETU
DUNIA ina mambo jamani! Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti. Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi karibuni ndani ya gesti hiyo (jina tunalo) Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara moja), alimnasa mumewe akijiandaa...
11 years ago
GPL
TIMBWILI GESTI!
TIMBWILI la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu aliyedai ni mjomba wake, Joseph akiwa na mkewe wa ndoa, Emiliani. Mjomba wa Kelvin(Joseph) akimsihi Mpwa wake amsamehe mara baada ya kukutwa gesti na mke wa Kelvin. Mkasa huo wa ajabu ulijiri usiku wa Jumamosi iliyopita kwenye gesti hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Waziri aibiwa gesti
WIMBI la uhalifu limeendelea kushamiri katika nyumba za wageni hapa nchini ambapo safari hii watu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka wamemwibia nguo na fedha Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi,...
11 years ago
Mwananchi31 Aug
Mfanyabiashara afa ‘gesti’
Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, Olais Metili mkazi wa Uzunguni jijini hapa, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Hoteli Diamond Motel iliyopo eneo la Sakina jijini hapa.
11 years ago
GPL
VUNJA JUNGU GESTI
Stori:  Issa Mnally Richard Bukos Vunja jungu! Saa kadhaa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali ameibua sekeseke kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti), kisa kikidaiwa ni mchepuko akihusishwa na mke wa mpangaji wake, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali akihusishwa kuchepuka na mke wa mpangaji wake, akiwa amenaswa kwenye...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania