Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADENTI MNAJILINDA, SISI MAANKO NI MAFISI!

Mambo aje maanko? Poleni sana kwa wale wa kidato cha nne ambao mmetoka kumaliza mitihani yenu, mnasikilizia matokeo hapo mwakani kama vipi, wale waliofanya vizuri waendelee na elimu ya juu zaidi. Nina uhakika wengi watafaulu kwa sababu walitumia muda wao mwingi katika kuhakikisha wanapiga kitabu kama hawana akili nzuri, enzi zetu tuliwaita akina John Kisomo! Tunakumbuka mara ya mwisho tulivyowasiliana, tulizungumza kuhusu mambo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mafisi mbaroni Dar

Wiki moja baada ya Rais John Magufuli kutangaza vita dhidi ya wauza dawa za kulevya huku akiomba wananchi kumuombea, Polisi wanamshikilia mtu mmoja kwa madai ya kujihusisha na biashara hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

TANZANIA NI MFANO WA JESHI LISILO LA WAUAJI, MAFISI NA WAHUNI

Nilikuwa nikisoma habari za majeshi duniani. Kila nchi imechambuliwa na kuorodheshwa. Idadi ya askari; wangapi wanaume, wangapi wanawake;  fedha zinazotumika, silaha zinakotoka, nk. Habari nzito. Zimekusanywa na wenyewe hawa Wazungu wakiongozwa na Shirika la Upelelezi  Marekani (CIA). 

 

10 years ago

GPL

YES, WAKO MADENTI WANAJIUZA!

MAANKO, mnaendeleaje na masomo? Najua leo ni wikiendi nyingine baada ya kumaliza wiki nzima ya masomo. Wale wadogo wa msingi najua kaka na dada zao wameshafanya mitihani na wale wa sekondari ndiyo wako katika maandalizi ya mitihani ya mwisho wa mwaka. Mtakumbuka wiki iliyopita tulijadili juu ya tabia ya baadhi ya wanafunzi, hasa wa kiume ambao huleta vurugu zisizo na maana katika mabasi ya daladala, kama vile lugha chafu kwa...

 

10 years ago

GPL

MADENTI NA VURUGU ZA MAKONDA

Habari za leo wapendwa. Ninaamini mnaendelea vizuri kabisa na masomo yenu kuelekea mwisho wa mwaka, ambao una mambo mengi kwelikweli. Mimi nasonga kama kawaida, siku zinaenda na sasa namba zinabadilika. Mtakumbuka wiki jana tulijadili hapa jinsi gani baadhi yetu tulibadili tabia kutokana na kupenda kujihusisha na mambo ya disco wakati tukiwa shule, ambako tulikutana na vishawishi vilivyosababisha wengi wetu kujikuta tuki-copy na...

 

11 years ago

GPL

TAMAA, UTANDAWAZI UNAWAUMIZA MADENTI

HABARI za tokea wiki iliyopita. Ni matumaini yangu kwamba wanafunzi mnaendelea vizuri na masomo na wasomaji wengine wa safu hii Mwenyezi Mungu anawabariki ili mambo yetu yaende sawa sawa. Hili ni kama hitimisho la mada yetu, ile tuliyojadili kuhusu chanzo hasa cha watu wazima kujihusisha kimapenzi na watoto wa shule, hasa wa sekondari na vyuo. Kama ilivyotokea wiki iliyopita, idadi ya wadau waliowasiliana na mimi ilikuwa kubwa na...

 

11 years ago

GPL

MADENTI, PICHA ZA UTUPU ZA NINI?

Niwape hi kwa furaha sana wapendwa wasomaji wa safu hii, ingawa zaidi ningependa ziwafikie wanafunzi popote pale gazeti hili linaposomwa. Hawa jamaa ni wadau wangu wakubwa sana, hasa katika kubadilishana mawazo inapobidi. Juzi nilikuwa naperuziperuzi kwenye mtandao, mara nikakutana na picha za aibu zilizopigwa na msichana ambaye ametambulishwa kama ni mwanafunzi, haikuelezwa kama ni denti wa sekondari au vyuo, lakini kwa uzoefu,...

 

10 years ago

GPL

MADENTI MSINGI WAJIUZA SH.2000

DUSTAN SHEKIDELE, MORO
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Farao! Kumekuwa na madai ya baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi mjini hapa kujiuza kwa waendesha bodaboda kwa gharama ya shilingi elfu mbili tu. Mwanafunzi anayedaiwa kujiuza kwa waendesha Bodaboda. Kufuatia madai hayo, mwandishi wa kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ mjini hapa alifanyia kazi madai hayo na kufanikiwa kumnasa Ally Shabani (34) ambaye...

 

11 years ago

GPL

TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?-2

Wiki iliyopita, niliweka mada ambayo niliwaomba wasomaji wote wenye nafasi kuchangia maoni yao juu ya kipi hasa kinachosababisha kuwepo kwa wingi kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya wanafunzi (wa msingi, sekondari na vyuo) na watu wazima, ambao tayari ama wana uhusiano na wenza wao ambao siyo wanafunzi, au wameoa kabisa. Ni jambo la kushukuru kwamba wadau wengi walijitokeza na kutoa maoni yao juu ya chanzo cha tatizo hili. Kila...

 

10 years ago

GPL

MADENTI WALIWA MIGUU NA MAMBA

Stori: Igenga Mtatiro, TARIME
WANAFUNZI wawili wa shule za msingi za Nyabisara (Murito) na Kerende Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara wameumwa hadi kuondolewa nyama zao za miguu na mamba walipokwenda kuoga maji ya mto kwa nyakatitofauti. Penina Joseph Mangure akiwa na jeraha mguuni alilojeruhiwa na Mamba. Wanafunzi hao ni Penina Joseph Mangure  (11) wa darasa la nne Shule ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani