Mafisi mbaroni Dar
Wiki moja baada ya Rais John Magufuli kutangaza vita dhidi ya wauza dawa za kulevya huku akiomba wananchi kumuombea, Polisi wanamshikilia mtu mmoja kwa madai ya kujihusisha na biashara hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E6-J*b1OZQO31NPiq6b7*CxJlYUGMvN-dUeJ4dJDUgSLndJSggo*BkreLvVI0Nx9i0zK*lUGLNkDQpt-YIWZrXIO8DiVCpMV/trickstoseduceyourgirlfriend.jpg?width=650)
MADENTI MNAJILINDA, SISI MAANKO NI MAFISI!
10 years ago
Mwananchi25 Jan
TANZANIA NI MFANO WA JESHI LISILO LA WAUAJI, MAFISI NA WAHUNI
11 years ago
Uhuru NewspaperMajambazi 10 mbaroni Dar.
NA WILLIAM SHECHAMBOMAJAMBAZI 10 wanaounda mtandao hatari wa uhalifu nchini, wametiwa mbaroni wakati wa msako mkali uliofanikisha pia kukamatwa kwa silaha mbalimbali. Silaha hizo ni bunduki tisa zikiwemo SMG tatu, bastola mbili, short gun nne na risasi 15 zilikamatwa.
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Viongozi wa Chadema Dar mbaroni
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
Na Waandishi wetu
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jana, liliwakamata viongozi na wafuasi 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam.
Wafuasi hao walikamatwa jana asubuhi walipojaribu kufanya maandamano ya kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Said Meck Sadiki kwa nia ya kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Wafuasi hao ambao walifika saa 12 asubuhi wakitokea...
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Watuhumiwa ujambazi 26 mbaroni Dar
ASIFIWE GEORGE NA LUGOLA CHITAGE (TUDARCO), DAR ES SALAAM
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikila watu 26 wanaodaiwa kuwa majambazi wanaojihusisha na vitendo mbalimbali vikiwamo vya kuvamia vituo vya polisi.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishina Suleimani Kova, alisema watuhumiwa hao wamekamatwa katika operesheni maalumu iliyoanza Agosti, mwaka huu.
Alisema watuhumiwa hao, walikamatwa na silaha...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Mwanamke kinara wa ujambazi mbaroni Dar
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata mtandao hatari wa majambazi kumi, mmoja akiwa ni mwanamke anayeshiriki kikamilifu wakati wa matukio ya ujambazi. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Habarileo24 Dec
Wamachinga wafunga barabara Dar, 24 mbaroni
WAFANYABIASHARA ndogo (machinga) wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, jana walizua vurugu katika mitaa ya eneo hilo, kupinga operesheni ya kuwaondoa kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa huku wakitaka walio katika maeneo ya barabarani ndiyo waondolewe.
10 years ago
CloudsFM03 Dec
MBARONI WAKIHUSISHWA NA MAUAJI YA WANAWAKE DAR
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya utekaji, unyanyasaji wa kijinsia na mauaji ya wanawake.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu, Suleiman Kova alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema watuhumiwa hao wamehusishwa na vitendo hivyo baada ya upelelezi wa kina na wa kitaalamu uliosaidia kuwakamata wahalifu hao wakiwa na vielelezo mbalimbali.
Kova aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Watu 71 mbaroni Dar kwa ujambazi, madawa