TANZANIA NI MFANO WA JESHI LISILO LA WAUAJI, MAFISI NA WAHUNI
Nilikuwa nikisoma habari za majeshi duniani. Kila nchi imechambuliwa na kuorodheshwa. Idadi ya askari; wangapi wanaume, wangapi wanawake; fedha zinazotumika, silaha zinakotoka, nk. Habari nzito. Zimekusanywa na wenyewe hawa Wazungu wakiongozwa na Shirika la Upelelezi Marekani (CIA).Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSHULE 30 ZAUNGANISHWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LISILO LA KISERIKALI LA ACTIVISTA TANZANIA PAMOJA NA ACTION AID KUWEZA KUWAFAHAMISHA KUHUSU NGUVU YA KODI KWA VIJANA
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Mafisi mbaroni Dar
Wiki moja baada ya Rais John Magufuli kutangaza vita dhidi ya wauza dawa za kulevya huku akiomba wananchi kumuombea, Polisi wanamshikilia mtu mmoja kwa madai ya kujihusisha na biashara hiyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E6-J*b1OZQO31NPiq6b7*CxJlYUGMvN-dUeJ4dJDUgSLndJSggo*BkreLvVI0Nx9i0zK*lUGLNkDQpt-YIWZrXIO8DiVCpMV/trickstoseduceyourgirlfriend.jpg?width=650)
MADENTI MNAJILINDA, SISI MAANKO NI MAFISI!
Mambo aje maanko? Poleni sana kwa wale wa kidato cha nne ambao mmetoka kumaliza mitihani yenu, mnasikilizia matokeo hapo mwakani kama vipi, wale waliofanya vizuri waendelee na elimu ya juu zaidi. Nina uhakika wengi watafaulu kwa sababu walitumia muda wao mwingi katika kuhakikisha wanapiga kitabu kama hawana akili nzuri, enzi zetu tuliwaita akina John Kisomo! Tunakumbuka mara ya mwisho tulivyowasiliana, tulizungumza kuhusu mambo...
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Tanzania yateuliwa kuwa eneo la mfano
Tanzania imeteuliwa kuwa miongoni mwa nchi sita duniani ambazo zitatumika kama eneo la mfano katika mpango mkakati ambao una lengo la kujadili na kupanua wigo wa vita dhidi ya malaria.
10 years ago
Michuzi28 Apr
AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA TANZANIA DKT. JAKAYA KIKWETE AZINDUA MELI VITA ZA JESHI LA WANAMAJI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/176.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/255.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/351.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/446.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_sSah7dVhQA/VeQkyd_dEuI/AAAAAAAH1NI/lVS57RJtkmE/s72-c/New%2BPicture.png)
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA AMIRI JESHI MKUU MHE. DKT KIKWETE
![](http://2.bp.blogspot.com/-_sSah7dVhQA/VeQkyd_dEuI/AAAAAAAH1NI/lVS57RJtkmE/s1600/New%2BPicture.png)
Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 31 Agosti, 2015,Tele Fax : 2153426Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari Vyombo vya Ulinzi na Usalama...
11 years ago
Mwananchi02 May
‘Muungano wa Tanzania mfano kwa nchi za EAC’
>Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeelezwa kuwa mfano halisi unaothibitisha uwezekano wa kuanzishwa na kudumu kwa Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC).
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUTZHwQ6E*-qBJmTK2oLZGUiS*5TzokKIQwKyay0CtzYjHsLm7oSLLhxo0VFWvQ0KI4Azp9fF*5ek7Drf46wuiUW/Gonjwa.jpg?width=650)
GONJWA LISILO NA TIBA YA UHAKIKA...
Stori: waanDISHI WETU
Hatari! Ugonjwa usio na tiba ya uhakika unaojulikana kwa jina la Homa ya Dengu (Dangue Fever) umeibuka kuwa miongoni mwa magonjwa hatari kwa sasa nchini huku wataalam wakidai hauna tiba ya moja kwa moja na unaua maelfu ya watu. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Seif Rashid. Taarifa zimeenea kuwa wagonjwa wengi wenye ugonjwa huo wapo kwenye hospitali mbalimbali za jijini Dar na kuna baadhi ya wauguzi nao...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10