Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani kwa Lowassa wasusa.

Mh.Edward Lowassa.
Kasi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuomba nafasi za udiwani na ubunge katika Jimbo la Monduli, inasuasua na tayari chama hicho kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Siasa kitakachokutana leo kukuna vichwa kutafuta ufumbuzi wa hali hiyo.

Katibu wa CCM Wilaya ya Monduli, Elisante Kimaro, alisema jana kuwa kusuasua kwa wanachama kuchukua fomu za kuomba kugombea nafasi hizo kunatokana na kushuka kwa morali ya wanachama baada ya Mbunge wa zamani, Edward Lowassa,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani CCM wasusa sherehe

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamesusia sherehe za chama hicho ngazi ya wilaya za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama. Sherehe hizo...

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani Monduli wamsikitisha Lowassa

MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa ameelezea kusikitishwa kwake na utendaji usioridhisha wa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, akitolea mfano kushindwa kutekeleza maamuzi ya vikao vya Baraza la Madiwani.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa awaombea kura wabunge, madiwani wa CCM

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa, amejikuta akiombea kura wabunge na madiwani waliosimamishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

GPL

MASTAA WASUSA 40 YA JAPANESE

Stori: Mwandishi wetu MWANAMUZIKI aliyefariki dunia, Amina Ngaluma maarufu kama Japanese alifikisha siku 40 tokea azikwe Jumamosi iliyopita, lakini katika kisomo kilichosomwa nyumbani kwao Kitunda, hakuna staa yoyote wa muziki wa dansi aliyehudhuria. Mwanamuziki Amina Ngaluma enzi za uhai wake. Japanese alifariki dunia mwezi uliopita nchini Thailand alikokuwa akifanya kazi ya muziki na katika shughuli hiyo ya wiki iliyopita,...

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa walemewa, wasusa

BAADA ya kushindwa kwa upotoshaji uliofanywa na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linaloongozwa na Chadema na CUF na hoja zao kuanza kupoteza mwelekeo, wajumbe hao wameamua kufungasha virago kurejea makwao kujipanga kutafuta huruma ya wananchi. Wajumbe hao wamefikia uamuzi huo jana, baada ya kukaa Dodoma na kuchukua posho za siku zote za awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu mpaka Aprili 30 mwaka huu, walizozitumia pamoja na mambo mengine kukashifu waasisi wa Muungano...

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA KADI (TIKA)

Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha mwisho kimefanyika Machi 29, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Pembeni ni Mwenyekiti wa Hamashauri ya Mji Korogwe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilole,...

 

11 years ago

GPL

40 YA MTOTO WA ROSE NDAUKA... MASTAA WASUSA!

Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani
UNAFIKI, kubaguana na upendo wa maigizo vimeendelea kuonekana miongoni mwa mastaa wa Bongo baada ya hivi karibuni kususa hafla ya kumtoa nje mtoto wa mwigizaji machachari, Rose Ndauka aitwaye Naveen. Tukio hilo lilishuhudiwa na kamera za Risasi Mchanganyiko, lilitokea wikiendi iliyopita, nyumbani kwa msanii huyo, Tandale – Tanesco, Dar, ambapo kichanga chake kilikuwa kimetimiza siku...

 

11 years ago

GPL

Baada ya kipigo, Al Ahly wasusa vyakula

Mohammed Mdose na Said Ally
KIPIGO cha bao 1-0 walichokipata Al Ahly dhidi ya Yanga, kimeonyesha kuwachanganya vilivyo Waarabu hao, kwani baada ya mchezo walionekana kutupatupa ovyo vyakula walivyokuwa navyo ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo. Waarabu hao walikumbana na kipigo hicho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar, juzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa bao safi lililofungwa na Nadir Haroub ‘Cannavaro’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani