Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa walemewa, wasusa

BAADA ya kushindwa kwa upotoshaji uliofanywa na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linaloongozwa na Chadema na CUF na hoja zao kuanza kupoteza mwelekeo, wajumbe hao wameamua kufungasha virago kurejea makwao kujipanga kutafuta huruma ya wananchi. Wajumbe hao wamefikia uamuzi huo jana, baada ya kukaa Dodoma na kuchukua posho za siku zote za awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu mpaka Aprili 30 mwaka huu, walizozitumia pamoja na mambo mengine kukashifu waasisi wa Muungano...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASTAA WASUSA 40 YA JAPANESE

Stori: Mwandishi wetu MWANAMUZIKI aliyefariki dunia, Amina Ngaluma maarufu kama Japanese alifikisha siku 40 tokea azikwe Jumamosi iliyopita, lakini katika kisomo kilichosomwa nyumbani kwao Kitunda, hakuna staa yoyote wa muziki wa dansi aliyehudhuria. Mwanamuziki Amina Ngaluma enzi za uhai wake. Japanese alifariki dunia mwezi uliopita nchini Thailand alikokuwa akifanya kazi ya muziki na katika shughuli hiyo ya wiki iliyopita,...

 

10 years ago

Vijimambo

Madiwani kwa Lowassa wasusa.

Mh.Edward Lowassa.
Kasi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuomba nafasi za udiwani na ubunge katika Jimbo la Monduli, inasuasua na tayari chama hicho kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Siasa kitakachokutana leo kukuna vichwa kutafuta ufumbuzi wa hali hiyo.

Katibu wa CCM Wilaya ya Monduli, Elisante Kimaro, alisema jana kuwa kusuasua kwa wanachama kuchukua fomu za kuomba kugombea nafasi hizo kunatokana na kushuka kwa morali ya wanachama baada ya Mbunge wa zamani, Edward Lowassa,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani CCM wasusa sherehe

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamesusia sherehe za chama hicho ngazi ya wilaya za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama. Sherehe hizo...

 

11 years ago

GPL

Baada ya kipigo, Al Ahly wasusa vyakula

Mohammed Mdose na Said Ally
KIPIGO cha bao 1-0 walichokipata Al Ahly dhidi ya Yanga, kimeonyesha kuwachanganya vilivyo Waarabu hao, kwani baada ya mchezo walionekana kutupatupa ovyo vyakula walivyokuwa navyo ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo. Waarabu hao walikumbana na kipigo hicho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar, juzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa bao safi lililofungwa na Nadir Haroub ‘Cannavaro’....

 

11 years ago

GPL

40 YA MTOTO WA ROSE NDAUKA... MASTAA WASUSA!

Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani
UNAFIKI, kubaguana na upendo wa maigizo vimeendelea kuonekana miongoni mwa mastaa wa Bongo baada ya hivi karibuni kususa hafla ya kumtoa nje mtoto wa mwigizaji machachari, Rose Ndauka aitwaye Naveen. Tukio hilo lilishuhudiwa na kamera za Risasi Mchanganyiko, lilitokea wikiendi iliyopita, nyumbani kwa msanii huyo, Tandale – Tanesco, Dar, ambapo kichanga chake kilikuwa kimetimiza siku...

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wasusa kikao bunge la katiba TZ

Wajumbe wa upinzani katika Bunge Maalum la Rasimu ya Katiba Mpya Tanzania wamesusia kikao kwa madai ya kupuuzwa

 

11 years ago

GPL

WAZAZI WASUSA MAITI YA MTOTO WAO

Haijakaa sawa! Tofauti na desturi ya Kitanzania watu kuwa pamoja katika kipindi cha matatizo, wazazi wa marehemu, Leonard Jorome Mwakanyamale, wanadaiwa kususa kuzika maiti ya mtoto wao kisa ugomvi kati ya marehemu na nduguze. Kijana Leonard Jorome Mwakanyamale,enzi za uhai wake Leonard ambaye alikuwa akiishi Buguruni jijini Dar, alifariki dunia Mei 10, mwaka huu kwa Ugonjwa wa Malaria.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa jirani...

 

10 years ago

Habarileo

Wazee wasusa kula siku 2 wakimlilia RC Massawe

Kanali mstaafu Fabian MassaweWAZEE wasiojiweza na watoto yatima walioko katika Kituo cha Kiilima kilichoko Bukoba Vijijini, wamesema walilazimika kususa kula kwa siku mbili mwezi uliopita baada ya kupata habari za kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wasusa kikao cha kamati ya ushauri

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi.KATIKA hali isiyotarajiwa Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Said Amour Arfi na Mbunge wa Viti Maalumu, Anna Malaki wote kwa tiketi ya Chadema wametoka nje ya kikao cha Kamati ya ushauri ya Wilaya ya Mpanda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani