Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maelfu wampokea Diamond Dar

MSANII mahiri wa Tanzania katika muziki wa kizazi kipya aliyeng’ara na kutwaa tuzo tatu za Africa Magazine Award (AFRIMMA) Nassib Abdul `Diamond Platinumz’ amepokelewa kwa kishindo na maelfu ya mashabiki wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAELFU WAMPOKEA EDWARD LOWASSA JIMBO LA BUMBULI MKOANI TANGA

Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo. Lowassa akiwasili Bumbuli.
 Lowassa akihutubia mkutano wa kampeni jimbo la Bumbuli leo.Umati wa Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakisikiliza sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATUA DAR, APOKELEWA KWA SHANGWE NA MAELFU


Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.

Mashabiki waliofika uwanja wa ndege kumpokea Diamond.

Diamond akipokelewa na mashabiki kwa shangwe.


MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa...

 

11 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR

Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika. Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo. Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka…

 

10 years ago

Michuzi

CCM YAWASAMBARATISHA UKAWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR, YAZOA MAELFU YA VITI BILA KUPIGWA

Na Bashir Nkoromo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake wamepita bila kupingwa.  Akihutubia kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi huo, katika Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani, jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alisema, kulingana na takwimu CCM imepita bila kupingwa katika vijiji 2708, mitaa 644, na vitongoji zaidi ya...

 

10 years ago

GPL

CHADEMA WAMPOKEA LOWASSA

Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa (ndani ya gari) akilakiwa na makada wa CHADEMA alipowasili mkoani Arusha juzi jumatano. Na Sifael Paul Mamia ya makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha, wamejitokeza kumpokea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa (pichani) ambaye ni mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA ARINDIMA TEMEKE, DAR ES SALAAM, WANANCHI KWA MAELFU WAFURIKA MKUTANO YAKE KATA YA BUZA

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Buza jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam. Wananchi wakimshangilia mgombea Mwnza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam.
  Wananchi wakimshangilia mgombea Mwnza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maelfu wajitokeza kumuaga mweka hazina wa manispaa ya Ilala marehemu Medard Kabikile Stima, azikwa Jijini Dar

Pichani ni Watoto wa marehemu Medard Kabikile Stima ambaye alikuwa ni Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala wakiwa wamebeba msalaba pamoja na picha kuongoza kuingiza mwili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam ili kuangwa kiserikali na baadae kuelekea kanisani na kwenye makaburi ya Kinondoni ambapo  Agosti 4, 2014 wamempumzisha katika nyumba yake ya milele.

Marehemu Stima alikufa katika ajali ya gari iliyotokea July 31, 2014 karibu na eneo la Bwawani, wakati wakielekea mjini...

 

9 years ago

Vijimambo

UBUNGO WAMPOKEA DK. MAGUFULI KWA FURAHA TELE

 Wakazi wa Ubungo wakimshangilia kwa shangwe mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli. Wananchi wakiwamtandikia apite.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani