MAFURIKO YAWALIZA MASTAA

Gladness Mallya KUTOKANA na mvua kubwa iliyonyesha na inayoendelea jijini Dar ambayo imesababisha mafuriko kwenye majumba ya watu na maji kujaa barabarani hivyo magari kushindwa kupita, baadhi ya mastaa Bongo, wamejikuta wakilizwa na hali hiyo kwani imewaathiri katika maisha yao ya kawaida na kwenye kazi zao. Adha ya mafuriko jijini Dar. Wakizungumza na gazeti hili juu ya majanga hayo ya mafuriko yaliyowakumba hasa watu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Sep
EPZ yawaliza wakazi B’moyo
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Sheria ya Madini yawaliza wachimbaji
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Elimu ya ardhi yawaliza wajane
WAJANE katika Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro wameangua kilio mbele ya uongozi wa taasisi na asasi ya maendeleo ya elimu na maarifa ya Greenbelt Schools Trust Fund (GSTF) baada...
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Michango ya kampeni yawaliza wagombea CCM
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Maziwa ya kusindika ‘yawaliza’ wafugaji nchini
UINGIZWAJI wa maziwa ya kusindikwa kutoka nchi jirani unawakatisha tamaa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa nchini hatua ambayo inaweza kusababisha wafugaji kuiacha biashara hiyo. Changamoto hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji...
11 years ago
GPL
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
5 years ago
Michuzi
BEI JUU YA SUKARI YAWALIZA WANANCHI KIBAHA

BAADHI ya maduka wilayani Kibaha yanauza sukari kwa bei ya sh. 3,200-4,000 kwa kilo ambayo ni kinyume na bei elekezi ya serikali kwa mkoa wa Pwani ambayo ni sh. 2,700.
Kero hiyo imejitokeza kutokana na wauzaji wa maduka ya maeneo mbalimbali ya wilayani ya Kibaha hayana bidhaa hiyo muhimu ,na sasa sukari imekuwa adimu.
Wananchi wakizungumza walisema sukari imekuwa ikiuzwa kwa kificho ambapo wakiwa na wasiwasi wanasema sukari hamna wakiogopa kukamatwa na polisi...
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Kodi ya pango yawaliza wenye vibanda Karagwe
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Nauli ya mabasi yawaliza wanafunzi wa bweni mkoani Tanga