Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magari makubwa ya abiria kukaguliwa

SERIKALI ipo kwenye mpango wa lazima kukagua magari makubwa ya abiria kila mwaka na kuwafutia leseni madereva walevi katika harakati za kupunguza ajali barabarani. Hayo, yalisemwa Dar es Salaam jana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NIT KUPIMA MAGARI YOTE YALIYOINGIA NCHINI BILA KUKAGULIWA

Shirika la viwango Tanzania (TBS) lilianzisha huduma ya kukagua magari yaliyotumika kutoka nje ya nchi tangu mwaka wa 2002. Lengo ni kuhakikisha magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka nje ya nchi yanakidhi kiwango cha magari yaliyotumika na yanafaa kuendeshwa barabarani. TBS imekuwa ikipata mawakala wa ukaguzi wa magari nje ya nchi kwa kutangaza zabuni za kimataifa. Kupima ubora wa bidhaa yakiwemo magari kwenye nchi...

 

10 years ago

Vijimambo

Watanzania wa UK wagomea mradi mchafu wa kukaguliwa magari yao na kampuni binafsi.

Ndugu Mabloger na wana libeneke wakubwa
Mwanzo wa yote nataraji kuwa wote mko salama na mnaendelea vyema na uchapaji kazi kama kawaida.
Rejea kichwa cha habari hapo juu,tunaomba mtu peperushie hii habari ili wahusika wajue kitu wanachokifanya sio sawa na wasijaribu kutuburuza bila kutumia busara na kufuata sheria.
Ukitazama kwenye attachment utaona tangazo la TBS ambalo wanatangaza kuanzia tarehe 16/03/2015.Kuna kampuni binafsi inayomilikiwa na watanzania hapa Uk,ambao wanasemekana wameshinda...

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yateka magari ya abiria

Watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameyateka magari matano ya abiria na kuwapora mali mbalimbali zenye thamani ya Sh1.3 milioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vituo vya magari makubwa kujengwa

KAMPUNI ya Uhifadhi wa Mazingira ya Green City ya jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Chama cha Wamiliki wa magari makubwa yanayosafirisha mizigo nje ya nchi (TATOA)  wamekusudia kuanzisha ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Barabara kwenda Ololosokwan tishio kwa magari makubwa

DSC_0035

Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues aliyemtembelea ofisini kwake wakati wa ziara ya kikazi ya siku nne kwenye kijiji cha Ololosokwani na halmashauri ya Ngorongoro kwa ajili ya maandalizi ya mradi wa kijiji cha digitali unaoendeshwa na Unesco kwa kushirikiana na Ki-elektronic ya Samsung unaotarajiwa kuwasili kijijini hapo mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA KENYA YAKUBALI KUYARUHUSU MAGARI YA ABIRIA NA WATALII KUTOKA TANZANIA.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
Awali, Serikali ya Kenya iliyazuia magari hayo kuingia uwanjani hapo huku ukiyatoza ushuru kwa yale yanayoingia, jambo ambalo lililalamikiwa na wafanyabiashara wa Tanzania.
Marufuku hiyo ya Kenya kwa magari ya Tanzania, ilidumu kwa zaidi ya wiki mbili, ambapo katika kusaka suluhu hiyo...

 

9 years ago

GPL

BARUA PEPE ZA HILLARY CLINTON KUKAGULIWA

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton. New York, Marekani Maelfu ya kurasa za barua pepe (emails) binafsi za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton zilizotumwa kwa anuani binafsi ya Waziri huyo, zimewekwa wazi hii leo na idara za Usalama nchini humo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema kuwa, kati ya barua pepe hizo, 150 kati yake ni zile zinazodaiwa kuwa na taarifa...

 

10 years ago

GPL

MABASI YA MIKOANI KUKAGULIWA LESENI DAR

Askari wa usalama barabarani wakikagua mabasi ya mikoani.…

 

10 years ago

Habarileo

Waomba fedha ujenzi wa zahanati kukaguliwa

WANANCHI wa Kata na Kijiji cha Chanya katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wameomba Serikali kuwapatia Mkaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali awasaidie kutambua matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa zahanati ambazo hazijulikani zilipo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani