Magufuli aanza kusaka amani Burundi
RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Seneti na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Burundi, Reverien Ndikuriyo Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu hali ya kisiasa na usalama nchini Burundi na jitihada zinazochukuliwa na Tanzania, ikiwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo26 Dec
Mahiga aanza kusaka suluhu Burundi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk Augustine Mahiga, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Pierre Nkurunziza wa Jamhuri ya Burundi, kwenye Ikulu yake jijini Bujumbura.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-fwCspudNGX4/VX7pkHIWqiI/AAAAAAAA_8g/pfnJmoJF4_A/s72-c/PINDA%2B2.jpg)
WAZIRI MKUU AANZA KUSAKA WADHAMINI KATAVI
![](http://2.bp.blogspot.com/-fwCspudNGX4/VX7pkHIWqiI/AAAAAAAA_8g/pfnJmoJF4_A/s320/PINDA%2B2.jpg)
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.
Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili Mpanda jana jioni (Jumapili, Juni 14, 2015), alipokelewa na maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda ambao waliamua kumsindikiza kwa mchakachaka na bodaboda kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake, Makanyagio.
Hadi mchana huu amekwishapata wadhamini 4,243 kwa kuzuru vituo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6ls9PoaplVWPmXTzPceZHrt9*OCzMvvYBJ82gw0mJc1HsoV4BiqgqlVNgTwC-gNGzdVcKQqG0E3bnN--iLuaF6/AUNT.jpg?width=650)
MIAKA 2 YA NDOA; AUNT EZEKIEL AANZA KUSAKA MTOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoYxLH8vOV7Uw6zDRPehIvtfILZHGvzr7OiSvChZGRq2ekY0MHU1B3atFzN63qQjBa03hHyJNjDd4bUh0Y-MqkH/proxy.jpg?width=650)
RIDHIWANI AANZA MBIO ZA KUSAKA KURA JIMBO LA CHALINZE
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Lowassa atikisa Dodoma, achukua fomu aanza kusaka wadhamini “Chap Chap”, awazoa lukuki Dodoma
![](http://2.bp.blogspot.com/-XI55TSmPTBE/VXCKuKY22-I/AAAAAAAAUfk/lMX5cEApM-s/s640/LOwassa_fomu2.jpg)
9 years ago
Mtanzania08 Oct
Siendi ikulu kusaka utajiri — Magufuli
NA BAKARI KIMWANGA, KILIMANJARO
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema haombi nafasi ya urais kwa ajili ya kutafuta utajiri.
Akizungumza na wananchi katika mikutano yake ya kampeni iliyofanyika wilaya za Siha, Hai na Moshi mkoani Kilimanjaro jana, Dk. Magufuli alisema lengo lake ni kutaka kuleta mabadiliko ya kweli ya maendeleo kwa Watanzania.
Dk. Magufuli alisema suala la utajiri na kujilimbikizia mali, si utamaduni wake, na kama angeutaka,...
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Wanaharakati waombea amani Burundi
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Amani ya Burundi bado haijatengamaa