Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli apenya ngome ya Ukawa

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amefanikiwa kujiongezea wapigakura katika majimbo ya Mkoa wa Arusha na Manyara, ambayo ni moja ya ngome za upinzani kwa sasa kutokana na kucheza vyema karata zake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAGUFULI ASAMBARATISHA NGOME ZA UKAWA MOSHI

Mh. John Magufuli akizungumza na Halaiki ya watu mjini Moshi. Aliyekuwa katibu wa vijana Wilaya ya Hai Jubiliat Lema kushoto baada ya kurudisha kadi. Nchimbi akiwashauri Wanasiha kumchagua Magufuli na kuzieleza sifa zake.…

 

10 years ago

Mtanzania

ACT yatikisa ngome ya Sitta, Ukawa

Na Bakari Kimwanga, Tabora
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeviliza vyama vinavyoundwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya mamia ya wananchi wa Wilaya ya Urambo kutangaza kujiunga na chama hicho.
Wilaya ya Urambo ina jimbo moja la uchaguzi la Urambo Mashariki ambalo linaongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta (CCM).
Nia hiyo ya wana-Urambo ilimfanya Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kujikuta akibubujikwa na machozi ya furaha, huku kila mara...

 

10 years ago

Mtanzania

Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba

 

mtanzaniadaily.2indd
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa aiteka ngome ya Magufuli Chato

Mgombea wa urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa leo ameingia Wilaya ya Chato ambapo akiwa katika mkutano wa kampeni, Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani humo ame mponda Dk Magufuli kwa kushindwa kutetea maslahi ya walimu.

 

10 years ago

GPL

DK MAGUFULI, CHILOLO WAISAMBARATISHA NGOME YA TUNDU LISSU SINGIDA MASHARIKI‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika Jimbo la Manyoni, mkoani Singida, wakati wa mkutano wa kampeni. 
 Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akitoa ahadi mbalimbali kwa wananchi kuhusu elimu ya bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne, utaratibu utakaoanza mwakani endapo wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza nchi.…
...

 

9 years ago

Habarileo

Sitta akatwa, Ndugai apenya

KAMATI Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemaliza kazi yake na sasa mgombea nafasi ya Spika kupitia chama hicho ni ama Job Ndugai, Abdullah Ali Mwinyi au Dk Tulia Ackson Mwansasu.

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI ABOMOA NGOME ZA CHADEMA HANANG, MBULU NA KARATU. AMMWAGIA SIFA LUKUKI DKT. SLAA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Karatu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Bwawani,kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anayempenda kwa dhati, ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Wilbrod Slaa,amesema kuwa ni kiongozi imara asiyependa kuyumbshwa na kwamba ni kiongozi anayeweza kuwa na msimamo thabiti na mapenzi makubwa na nchi yake Tanzania.Umati wa Washabiki na wafuasi wa CCM waliokusanyika katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa: Hatutishwi na Magufuli

>Dakika chache baada ya CCM kumpitisha Dk John Magufuli kuwa mgombea wake wa urais, viongozi wa vyama vya upinzani wamesema hawatishwi na Dk Magufuli na wanamuona kama kada wa kawaida miongoni mwa wengi waliopo CCM na kwamba hawezi kuleta mabadiliko yoyote.

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

UKAWA kumshitaki Magufuli

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli Inakusudia kuchukua hatua kwa madai mgombea huyo wa urais wa CCM anaiga na kutumia nembo za Chadema kwenye mabango na hotuba zake za kampeni. Na Waandishi […]

The post UKAWA kumshitaki Magufuli appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani