Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa: Hatutishwi na Magufuli

>Dakika chache baada ya CCM kumpitisha Dk John Magufuli kuwa mgombea wake wa urais, viongozi wa vyama vya upinzani wamesema hawatishwi na Dk Magufuli na wanamuona kama kada wa kawaida miongoni mwa wengi waliopo CCM na kwamba hawezi kuleta mabadiliko yoyote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

UKAWA kumshitaki Magufuli

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli Inakusudia kuchukua hatua kwa madai mgombea huyo wa urais wa CCM anaiga na kutumia nembo za Chadema kwenye mabango na hotuba zake za kampeni. Na Waandishi […]

The post UKAWA kumshitaki Magufuli appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Utafiti Ukawa 76% mwingine Dk. Magufuli 62%.

Siku mbili baada ya ripoti ya utafiti uliofanywa na Twaweza kwa njia ya simu kuonyesha kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli angeshinda kwa asilimia 66, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umetangaza matokeo ya utafiti wao yanayompa mgombea wao kupitia Chadema, Edward Lowassa, ushindi wa zaidi ya asilimia 76.

Hata hivyo, vita kuhusiana na ripoti za utafiti baina ya CCM na Ukawa imechukua sura mpya baada ya utafiti mwingine kutangazwa kupitia taarifa zilizosambazwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli apenya ngome ya Ukawa

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amefanikiwa kujiongezea wapigakura katika majimbo ya Mkoa wa Arusha na Manyara, ambayo ni moja ya ngome za upinzani kwa sasa kutokana na kucheza vyema karata zake.

 

10 years ago

Raia Mwema

Ukawa, Magufuli na anguko kuu

WAHENGA wana msemo; “mwenye nguvu mpishe, usipompisha utavunjika mbavu. Si siri Dk.

Yahya Msangi

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli arusha kombora Ukawa

g6NA BAKARI KIMWANGA, GEITA

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.

Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake.

Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza wakati wa  mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Buchosa, Geita na...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akabiliana na Ukawa Mbeya

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana alikabiliana na wafuasi wa Chadema katika ziara yake ya kampeni, akawaahidi mabadiliko wanayohitaji ya kuufanya Mkoa wa Mbeya kuwa kitovu cha mabadiliko.

 

10 years ago

Mtanzania

Ukawa wamshika pabaya Magufuli

Arodia Peter na Khamis Mkotya, Dodoma

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ‘umemshika pabaya’ Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kutokana na ukubwa wa deni linalodaiwa na wakandarasi.

Deni hilo limesababisha wabunge kutaka ufafanuzi wa kina kuhusu deni ambalo linazidi bajeti ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2015/2016.

Akiwasilisha Maoni ya Kambi ya Upinzani bungeni jana, Msemaji wa Upinzani katika wizara hiyo, Felix Mkosamali alimtaka Dk. Mgufuli kulifafanulia Bunge madeni ambayo...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ASAMBARATISHA NGOME ZA UKAWA MOSHI

Mh. John Magufuli akizungumza na Halaiki ya watu mjini Moshi. Aliyekuwa katibu wa vijana Wilaya ya Hai Jubiliat Lema kushoto baada ya kurudisha kadi. Nchimbi akiwashauri Wanasiha kumchagua Magufuli na kuzieleza sifa zake.…

 

9 years ago

Mwananchi

JK, Magufuli warusha kijembe ‘kwa Ukawa’

Rais Jakaya Kikwete amesema anaamini mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ndiye atakayeshinda katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, na kwamba vuguvuru la kisiasa linaloendelea hivi sasa ni moto wa mabua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani