Ukawa wamshika pabaya Magufuli
Arodia Peter na Khamis Mkotya, Dodoma
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ‘umemshika pabaya’ Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kutokana na ukubwa wa deni linalodaiwa na wakandarasi.
Deni hilo limesababisha wabunge kutaka ufafanuzi wa kina kuhusu deni ambalo linazidi bajeti ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Akiwasilisha Maoni ya Kambi ya Upinzani bungeni jana, Msemaji wa Upinzani katika wizara hiyo, Felix Mkosamali alimtaka Dk. Mgufuli kulifafanulia Bunge madeni ambayo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Polisi wamshika pabaya Gwajima
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Magufuli awashika pabaya wabunge
*Azuia safari zao nje ya nchi, watakiwa wawe na vibali
*Baadhi yao wajikuta wakikwama Uwanja wa Ndege VIP
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa Serikali bila kibali, safari hii kibao kimewagekia wabunge baada ya kuzuiwa kusafiri bila ruhusa maalumu, MTANZANIA imebaini.
Hali hiyo imeonekana kuwavuruga wabunge, kwani baadhi yao wamejikuta wakikwama katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada...
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Ukawa: Hatutishwi na Magufuli
9 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
UKAWA kumshitaki Magufuli
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli Inakusudia kuchukua hatua kwa madai mgombea huyo wa urais wa CCM anaiga na kutumia nembo za Chadema kwenye mabango na hotuba zake za kampeni. Na Waandishi […]
The post UKAWA kumshitaki Magufuli appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Dk. Magufuli arusha kombora Ukawa
NA BAKARI KIMWANGA, GEITA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi.
Kutokana na hali hiyo, amesema yeye ndiye anayeweza kuleta mabadiliko ya kweli yanayokwenda na vitendo katika kujenga uchumi wa nchi na watu wake.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza wakati wa mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Buchosa, Geita na...
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Dk Magufuli akabiliana na Ukawa Mbeya
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Magufuli apenya ngome ya Ukawa
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Ukawa, Magufuli na anguko kuu
WAHENGA wana msemo; “mwenye nguvu mpishe, usipompisha utavunjika mbavu. Si siri Dk.
Yahya Msangi
9 years ago
Vijimambo25 Sep
Utafiti Ukawa 76% mwingine Dk. Magufuli 62%.
Hata hivyo, vita kuhusiana na ripoti za utafiti baina ya CCM na Ukawa imechukua sura mpya baada ya utafiti mwingine kutangazwa kupitia taarifa zilizosambazwa...