Magufuli, Lowassa wamwaga sera
Wakati mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa akikanusha kuwa hana mashamba kama inavyodaiwa, mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema alikuwa akipokea amri na kutekeleza majukumu, sasa anataka apewe nchi aweze kutoa amri kwa wengine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Mchakamchaka umeanza Arusha, wagombea Ubunge CCM wamwaga sera
Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ambaye pia ni mfanyabiashara wa madini jijini Arusha, Justine Nyari, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kujinadi nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi katika kata mpya ya Sinoni jijini Arusha(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akizungumza na wananchi wa kata mpya ya Sinoni kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi...
9 years ago
Vijimambo19 Sep
SERA YA LOWASSA ELIMU YA JUU BURE ‪#‎HAIWEZEKANI‬ KWA SASA
![](https://fbcdn-photos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpl1/v/t1.0-0/s526x395/12038345_611681675636375_2700435521837011316_n.jpg?oh=551b0a75a88c1b11dd091f93a19e82c8&oe=56A1A2B5&__gda__=1449801116_86d06f5e820c2afd18d8c1a6f4c9bc6c)
HOJA ya UKAWA: ELIMU Bure mpaka chuo kikuu! Tanzania ina Vyuo vikuu 54. Tusidanganyike kama Watoto wadogo haiwezekani hata kidogo!!TAFAKARI: tutathmini tu watu wa Shahada ya kwanza! Mwaka 2014/2015 TCU inatarajia kudahili wanafunzi 48, 000.Kwa mwanafunzi mmoja chuo kikuu fani ya Sayansi ya asili (Natural Science) kwa mwaka mmoja anahitaji kiasi kisichopungua Tshs 5,500, 000 (tuition fees, stationary, meal and accommodation, field, Equipments n. k).
Kwa mwaka huu 2014/2015 TCU kwa sayansi...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Capt-mstaaf-John-Chiligati-aliyekuwa-Mbuge-wa-manyoni-akipunga-mikono-baada-ya-kumpigia-debe-mgombea-mpya-wa-eneo-hilo-Daniel-Mtuka-katikati-ni-mg.jpg)
MAGUFULI AMWAGA SERA YA MATUMAINI MAPYA SINGIDA
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Dk. Magufuli, Lowassa 50/50
ZIKIWA zimesalia siku 72 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa nchini wanaamini kuwa hadi sasa hakuna mgombea mwenye uhakika wa ushindi wa moja kwa moja.
Wagombea wawili, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chadema ndio wanaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Akizungumzia uchaguzi huo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba, aliliambia Raia Tanzania kuwa uchaguzi wa mwaka huu...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ni Lowassa au Magufuli?
USHINDANI Mkali katika uchaguzi wa mwaka huu unamfanya mtu atake kujua kama Baba wa Taifa, Mwali
Mwandishi Wetu
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Nagu: I know Lowassa and Magufuli
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Uchaguzi wa mitaa wamwaga damu
9 years ago
Mtanzania12 Sep
CCM, Chadema wamwaga damu
Na Timothy Itembe, Tarime
WANACHAMA na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), juzi walishambuliana kwa ngumi na silaha za jadi na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine watano.
Tukio hilo lilitokea saa 4.09 asubuhi katika Kijiji cha Mangucha, Wilaya ya Tarime mkoani Mara wakati wanachama na wafuasi wa vyama hivyo wakiwa kwenye shughuli za kampeni za vyama vyao.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi...
10 years ago
Mtanzania21 May
Ulaya wamwaga neema Ludewa
Na Mwandishi Wetu, Ludewa
NCHI za Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) zimetoa Sh bilioni 11.3 kwa ajili ya kusaidia kupeleka umeme kwa wananchi 50,000 wa vijiji 20 vya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe .
Rais wa Shirika lisilo la kiserikali la ACRACCS la Italia, Nicola Morganti, alikuwa akizungumza katika uzinduzi wa mradi huo ambao ulifanyika katika Kijiji cha Lugarawa jana.
Alisema mradi huo unaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Kanisa Katoliki Dayosisi ya Njombe na Serikali kupitia Wakala wa Umeme...